Mahakama ya Kadhi yalitafuna Bunge

Mahakama ya Kadhi yalitafuna Bunge

Serikali haina dini, ccm na mnara wa babeli cjui km watafika. Waliwaahidi kwenye ilani yao 2005 ndio mana wanadai. Ccm walaghai sn. Waache wanavuna walichopanda.
 
Jambo wakristo wanasahau usipende kumfanyia ubaya mwenzio ukadhani wewe hautakurudia. Hii nchi udini ulianza pale Nyerere alipoanza kuwa ni mtumishi muadilifu wa kanisa katoliki. Cheyo aache unafiki kama anasema serikali haina dini iweje leo Serikali inaingia Memorandum of Understanding na Makanisa???? Pili akisema Serikali haina mbona inaingia mikataba na kanisa kununua umeme au kanisa linafanya biashara.

Kanisa ni taasisi ya dini haifanyi biashara ingelikuwa ni taasisi isiyo ya dini ningelisema ni haina shida lakini kama ni taasisi ya dini basi serikali ina dini na hili ni jinamizi serikali italibeba. Kama wanataka suluhu wawape waislamu mahakama ya kadhi tutabalance vizuri. Ikiwa tunataka amani hii ndio solution otherwise hii katiba haitapita na nchi itagawanyika vipande. Kuwafanya waislamu ni wajinga kila zama zimepita sasa hivi waislamu wanajua kila hatua ndugu zetu wakristo mnaopiga.
 
Huyo sheikh jongo yeye kama nani??? atuambie utaratibu wa dini gani ulioandikwa kwenye katiba?????
Aache uchuro analeta taswira mby kwa jamii.. Kuna mambo ya maana ya kujadili ktk nchi hii na si kadhi...

Hyo kadhi asubiri tuendelee angalau tuifikie nchi kama china hivi
 
Wakristo wa nchi hii ni zaidi ya mbumbumbu licha ya elimu vyeti walionayo. Na nyie si muingize madai yenu? Kwanini mnazuia madai ya wenzenu?

Wakristo si mbumbumbu kama nyie mnaodanganywa na ccm kuwa wameliweka suala la KADHI kwenye ilani yao wakati wanajua wazi kuwa kufanya hivyo walikuwa wanawazuga ili mtoe kura zenu kwa ccm na mlipowapa tu wakaiondoa na kwenye ilani yao hivyo mkawa mmetumiwa kama TOILET-PAPER.sasa hapo nani mbumbumbu?.Wakristo hawezi kuomba kuingiza mambo yao ya Ibada kwenye katiba wao wana uwezo kugharamia shughuli zao bila msaada wa katiba,Tunapenda tu kuwashauri muanzishe mahakama hizo kwa gharama zenu mkishindwa ombeni wafadhili toka uarabuni wawasaidie kuendesha hizo mahakama mkishindwa basi mzibinafsishe kwa waislam wenye uwezo waziendeshe.
 
nyie wakristo kama mnamambo yenu,ombeni yaingizwe kwenye katiba.lakini siyo kuikataza mahakama ya kadhi

Mambo ya dini hayakai kwenye katiba yanakaa kwenye biblia na quran.... Na vitabu vingine vya dini

hii syo nchi ya kidini

tukisema kila dini ilete utaratibu wake tuuweke kwenye katiba sijui hyo katiba itakuwa ya aina gani maana hapa TANZANIA kuna dini lukuki
 
Wakristo si mbumbumbu kama nyie mnaodanganywa na ccm kuwa wameliweka suala la KADHI kwenye ilani yao wakati wanajua wazi kuwa kufanya hivyo walikuwa wanawazuga ili mtoe kura zenu kwa ccm na mlipowapa tu wakaiondoa na kwenye ilani yao hivyo mkawa mmetumiwa kama TOILET-PAPER.sasa hapo nani mbumbumbu?.Wakristo hawezi kuomba kuingiza mambo yao ya Ibada kwenye katiba wao wana uwezo kugharamia shughuli zao bila msaada wa katiba,Tunapenda tu kuwashauri muanzishe mahakama hizo kwa gharama zenu mkishindwa ombeni wafadhili toka uarabuni wawasaidie kuendesha hizo mahakama mkishindwa basi mzibinafsishe kwa waislam wenye uwezo waziendeshe.

Au wakishindwa waombesaada kwa wakristo tehhhh daahhh na misikiti ilivyochakaa hivi sadaka zinaenda wapi
 
Jambo wakristo wanasahau usipende kumfanyia ubaya mwenzio ukadhani wewe hautakurudia. Hii nchi udini ulianza pale Nyerere alipoanza kuwa ni mtumishi muadilifu wa kanisa katoliki. Cheyo aache unafiki kama anasema serikali haina dini iweje leo Serikali inaingia Memorandum of Understanding na Makanisa???? Pili akisema Serikali haina mbona inaingia mikataba na kanisa kununua umeme au kanisa linafanya biashara.

Kanisa ni taasisi ya dini haifanyi biashara ingelikuwa ni taasisi isiyo ya dini ningelisema ni haina shida lakini kama ni taasisi ya dini basi serikali ina dini na hili ni jinamizi serikali italibeba. Kama wanataka suluhu wawape waislamu mahakama ya kadhi tutabalance vizuri. Ikiwa tunataka amani hii ndio solution otherwise hii katiba haitapita na nchi itagawanyika vipande. Kuwafanya waislamu ni wajinga kila zama zimepita sasa hivi waislamu wanajua kila hatua ndugu zetu wakristo mnaopiga.

Tatizo lako umekaririshwa wala hujui kwa nini ipo MOU,na ukiambiwa sasa hivi uelezee MOU ni nini huwezi kumwelezea mtu ukweli maana wewe huwa unaisikia tu kule kwenye mihadhara ya kukashifu Ukristo inayoongozwa na Masheikhe wenu Uchwara.
 
Hii nchi ingekuwa ya wanakadhi tupu ingekuwa ishachafuka kma sudan

wangeanza kubaguana wenyewe kwa madhehebu yao then wangeingia kikanda

waislam wa bara na pwani

kiukweli kuwepo kwa dini mbili kunafanya kuwepo kwa equillibrium.. Na amani inadumu

tutajitahidi kuwaelimisha hawa ndugu zetu ili twende sawa kwamba mambo ya dini hayana umuhimu wa kuwekwa kwwnye katiba ya nchi isiyoongozwa kidini

mambo ya dini na sheria zake hukaa kwenyw vitabu vitakatifu
 
Tatizo lako umekaririshwa wala hujui kwa nini ipo MOU,na ukiambiwa sasa hivi uelezee MOU ni nini huwezi kumwelezea mtu ukweli maana wewe huwa unaisikia tu kule kwenye mihadhara ya kukashifu Ukristo inayoongozwa na Masheikhe wenu Uchwara.

Tuseme uko sahihi hebu nifahamishe ni kwanini Serikali inatoa Bilioni 91 kila mwaka kwa makanisa? Pesa inayotoka katika kodi ya watanzania ambapo sisi waislamu hatufaidiki lolote na umiliki wa hospitali au shule ya kanisa???
 
Hivi wanataka Katiba ilazimishe maamuzi ya kidini hata kama si halali na yanamnyima haki mhusika! Halafu ukishaongezea maswali ya wakfu maana yake unataka kugusa imani za watu ziwaathiri na wasiokuwemo. Tutenganishe masuala haya ya imani na masuala ya kidola.
 
Tuseme uko sahihi hebu nifahamishe ni kwanini Serikali inatoa Bilioni 91 kila mwaka kwa makanisa? Pesa inayotoka katika kodi ya watanzania ambapo sisi waislamu hatufaidiki lolote na umiliki wa hospitali au shule ya kanisa???
Hivi waislamu wakiugua hawaendi bugando au kcmc? Hivi zile shule za wakristu waislamu wanzuiwa kusoma pale. Nina kumbuka hata Rais wetu ambaye ni mwisilamu safi aliwahi kueleza kuwa alisema shule ya wakristu. Ni elimu hii iliyo pia fursa mpaka akawa Rais wetu.
 
Wanaeda tena ndo wanaojaa huko mahospitali

hiz kero za kidini zipo hukuhuku mijin hasa dsm

ila ukienda mikoan watu wala hawana habari na inshu za udini

nadhan hii kadhi ni mradi wa biongoz wa dini wachache wanaotafuta mbinu ya ulaji wa kodi za serikali bila kusoma
 
wakristo wamejijenga sana nchi hii ndio wanaoongoza kutoa social services hivo lazima serikali itoe ruzuku lakin kuwa na mahakama ya kadhi ni kuleta udini kama vipi nendeni iraq wapuuzi nyie
 
Mimi si muislamu ila waislamu wanahaki na mahakama yao kwani nyie CCM si mliwaaidi au mlidhani kutakua hakuna uchaguzi mwingine wakakumbushia ahadi yao?mliwaona majuha sasa leo mnaumbuka.WHAT GOES AROUND COMES GROUND.Mmeshikwa pabaya.
 
kithumni kiheshimiwe na kuruani, katiba ya nchi marufuku kugusia hii kitu!!!!

dunia ya sasa ni tofauti kabisa na ya zamani, eti mali ya dada ihifadhiwe na kaka kwa hiyo achue kithumni!! maajabu ya chura haya.

siku hizi kila mtu anakufa na chake.

huyo kadhi tutaendelea kumsoma kwenye hekaya za abunuasi.
 
Back
Top Bottom