UKAWA Hawasomeki, wanatapatapa kama wafa maji

UKAWA Hawasomeki, wanatapatapa kama wafa maji

Jay Milionea

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
1,185
Reaction score
154
UKAWA jifunzeni kuwa na siasa za kawaida, acheni mbwembwe mnaona sasa mpaka sasahivi mnawaweka babaikoni wafuasi wenu, mmekuwa na ahadi hewa lukuki mnoooo, angalieni wenzenu wameshapiga hatua kwa kumpata mgombea wao nyie mnalumbana tuu.
image.jpg
 
Haraka haraka haina baraka. Tunataka waendelee kujifungia ndani ila wakitoka watoke na msimamo wenye akili.
 
Ndoa ya UKAWA ina mitego mingi sana, kwanza ni ndoa ya kiiamani zaidi kuliko ya kisheria yenye vyeti na mihuri. Wakitoka watadhurika na wakibaki watadhurika. Muhimu wapime, "Madhara na madhara kiasi"
 
UKAWA jifunzeni kuwa na siasa za kawaida, acheni mbwembwe mnaona sasa mpaka sasahivi mnawaweka babaikoni wafuasi wenu, mmekuwa na ahadi hewa lukuki mnoooo, angalieni wenzenu wameshapiga hatua kwa kumpata mgombea wao nyie mnalumbana tuu.
View attachment 268349

Imekuwa ni jadi sasa kwa Watanzania kuwa na tatizo la kusahau namna siasa za C C M zilivyo hapa nchini. Mwaka 2005 Rais wa sasa Kupitia C CM Kikwete alionekana kuwa chaguo sahihi na baadhi ya watu na viongozi wa kidini walisema alikuwa ni chaguo la Mungu!

Lakini utendaji wake na hasa katika kushughulikia matatizo ya wananchi ya moja kwa moja haukuwaridhisha wananchi wengi na baadhi wanasema kheri aondoke mapema. Leo naona amekuja Dr. Magufuli
ghafla watanzania naona wamesahau taabu na sulba zilizosababishwa na uongozi wa chama na kuwanza kuwekeza matumaini ya ukombozi mpya wa kiuchumi na tofauti za kitabaka utakaoletwa na Magufuli.

Ni muhimu tukajiuliza ni njia zipi mpya ambazo Magufuli atatokea ambazo wenzake hawakuzipitia?
C C M ina sera ambayo kwa sasa wanahitaji mfumo mpya wa uongozi na lazima wajifunze wakiwa nje ya uongozi ndipo wanaweza kuelewa haya tunayoyazungumza

Ni vema watanzania tukawa na fikra za kimapinduzi ili kifanya maamuzi magumu dhidi utawala wa kimazoea na kuingiza utawala wa kisasa unaojali mahitaji na mawazo ya wananchi wa hali ya chini kuliko ilivyo sasa!
 
Haraka haraka haina baraka. Tunataka waendelee kujifungia ndani ila wakitoka watoke na msimamo wenye akili.

Imekuwa ni jadi sasa kwa Watanzania kuwa na tatizo la kusahau namna siasa za CCM zilivyo hapa nchini. Mwaka 2005 Rais wa sasa Kupitia C CM Kikwete alionekana kuwa chaguo sahihi na baadhi ya watu na viongozi wa kidini walisema alikuwa ni chaguo la Mungu!

Lakini utendaji wake na hasa katika kushughulikia matatizo ya wananchi ya moja kwa moja haukuwaridhisha wananchi wengi na baadhi wanasema kheri aondoke mapema. Leo naona amekuja Dr. Magufuli
ghafla Watanzania naona wamesahau taabu na suluba zilizosababishwa na uongozi wa chama kile kile cha CCM. Sasa watu wameanza tena kuweka matumaini ya ukombozi mpya wa kiuchumi na tofauti za kitabaka utakaoletwa na Dr.Magufuli.

Ni muhimu tukajiuliza ni njia zipi mpya ambazo Dr.Magufuli atatokea ambazo wenzake hawakuzipitia? Wakati wananchi tukiendelea kupigika ndani ya utawala wa CCM, Dr.Magufuli alikuwa ni sehemu ya uongozi uliotufikisha hapa. CCM ina sera ambazo kwa sasa wanahitaji mfumo mpya wa uongozi na lazima wajifunze wakiwa nje ya uongozi ndipo wanaweza kuelewa haya tunayoyazungumza.

Ni vema watanzania tukawa na fikra za kimapinduzi ili kifanya maamuzi magumu dhidi utawala wa kimazoea na kuingiza utawala wa kisasa unaojali mahitaji na mawazo ya wananchi wa hali ya chini kuliko ilivyo sasa!
 
Jazba,ubabe ndio hatari ya ukahawani
 
Takribani siku tatu kumekuwa na kila aina ya tarifa kuwa Ukawa inaenda kuvunjika na kila chama kuchukua kilicho chake. Hali hii imelazimu nifanye uchunguzi wa haraka kujua uhalisia wa maswala haya.

Utafiti wangu nimeumefanya kwa kuwauliza wanachama na viongozi wa vyama shirika wa Ukawa kujua nini hasa kinaendea hasa uimara kuhusu uimara wa umoja huo. Matoeo ya utafiti huu, yameniridhisha kuwa,Ukawa bado ipo imara sana.

Yanayoonekana kwa nje (miguu minne) ni mbinu ya kuwapumbaza CCM na kuvuta attention ya media ili huko waendako waweze kuvuta attention ya watu wakati wa kumtangaza mgombea wao.

Taarifa za ndani zinasema Ukawa watamtangaza mgombea wao kwa ratiba ambayo mpaka sasa haijawa dhahiri kwa baadhi ya wanachama wa vyama vinavyounda umoja huo.

Baadhi ya viongozi wameshindwa kutowa majibu ya moja kwa moja na badala yake kila mmoja anasema watanzania wawe na subira kwani kuna mambo wanayaweka sawa.

Kwa ujumla,
UKAWA ipo sana na iko imara sana. Vyama vinavyounda umoja huo viko pamoja sana (mguu mmoja).
 
imekuwa ni jadi sasa kwa watanzania kuwa na tatizo la kusahau namna siasa za ccm zilivyo hapa nchini. Mwaka 2005 rais wa sasa kupitia c cm kikwete alionekana kuwa chaguo sahihi na baadhi ya watu na viongozi wa kidini walisema alikuwa ni chaguo la mungu!

Lakini utendaji wake na hasa katika kushughulikia matatizo ya wananchi ya moja kwa moja haukuwaridhisha wananchi wengi na baadhi wanasema kheri aondoke mapema. Leo naona amekuja dr. Magufuli
ghafla watanzania naona wamesahau taabu na suluba zilizosababishwa na uongozi wa chama kile kile cha ccm. Sasa watu wameanza tena kuweka matumaini ya ukombozi mpya wa kiuchumi na tofauti za kitabaka utakaoletwa na dr.magufuli.

Ni muhimu tukajiuliza ni njia zipi mpya ambazo dr.magufuli atatokea ambazo wenzake hawakuzipitia? Wakati wananchi tukiendelea kupigika ndani ya utawala wa ccm, dr.magufuli alikuwa ni sehemu ya uongozi uliotufikisha hapa. Ccm ina sera ambazo kwa sasa wanahitaji mfumo mpya wa uongozi na lazima wajifunze wakiwa nje ya uongozi ndipo wanaweza kuelewa haya tunayoyazungumza.

Ni vema watanzania tukawa na fikra za kimapinduzi ili kifanya maamuzi magumu dhidi utawala wa kimazoea na kuingiza utawala wa kisasa unaojali mahitaji na mawazo ya wananchi wa hali ya chini kuliko ilivyo sasa!
mchumiatumbo at work
 
mchumiatumbo at work

Wewe ndiye mchumia tumbo. Tangu asubuhi unahangaika tu na habari za UKAWA, kana kwamba wewe ndiye afisa habari wa UKAWA. UKAWA ina wenyewe bhana. Mambo ya UKAWA waachieni UKAWA. Nyinyi majizi na matapeli wa CCM mnajipotezea muda tu kueneza propaganda ambazo haziwasaidii
 
mchumiatumbo at work

Imekuwa ni jadi sasa kwa Watanzania kuwa na tatizo la kusahau namna siasa za CCM zilivyo hapa nchini. Mwaka 2005 Rais wa sasa Kupitia C CM Kikwete alionekana kuwa chaguo sahihi na baadhi ya watu na viongozi wa kidini walisema alikuwa ni chaguo la Mungu!

Lakini utendaji wake na hasa katika kushughulikia matatizo ya wananchi ya moja kwa moja haukuwaridhisha wananchi wengi na baadhi wanasema kheri aondoke mapema. Leo naona amekuja Dr. Magufuli
ghafla Watanzania naona wamesahau taabu na suluba zilizosababishwa na uongozi wa chama kile kile cha CCM. Sasa watu wameanza tena kuweka matumaini ya ukombozi mpya wa kiuchumi na tofauti za kitabaka utakaoletwa na Dr.Magufuli.

Ni muhimu tukajiuliza ni njia zipi mpya ambazo Dr.Magufuli atatokea ambazo wenzake hawakuzipitia? Wakati wananchi tukiendelea kupigika ndani ya utawala wa CCM, Dr.Magufuli alikuwa ni sehemu ya uongozi uliotufikisha hapa. CCM ina sera ambazo kwa sasa wanahitaji mfumo mpya wa uongozi na lazima wajifunze wakiwa nje ya uongozi ndipo wanaweza kuelewa haya tunayoyazungumza.

Ni vema watanzania tukawa na fikra za kimapinduzi ili kifanya maamuzi magumu dhidi utawala wa kimazoea na kuingiza utawala wa kisasa unaojali mahitaji na mawazo ya wananchi wa hali ya chini kuliko ilivyo sasa!
 
Ukawa wapo vyama vinne, so jumla ya miguu ni nane. Kama miguu minne ipo nje, ina maana mingine minne ipo ndani. Kwa kuwa ni nusu kwa nusu, maana yake kuna uwezekano pia wa kusambaratika!
 
Ukawa wapo vyama vinne, so jumla ya miguu ni nane. Kama miguu minne ipo nje, ina maana mingine minne ipo ndani. Kwa kuwa ni nusu kwa nusu, maana yake kuna uwezekano pia wa kusambaratika!
Hakuna jipya hapo UKAWA NA CO. LTD IMESHAKUFA MUDA SASA
 
Hamasa ya upinzani inapungua kwa namna wanavyokwenda. Ushauri wangu in hivi: viongozi wakuu wa ukawa wagombee ubunge waimarishe bunge ili mambo yasipite hovyo. Sauti yao bungeni itasikika
 
nashindwa kuthibitisha kwamba huo ni utafiti lakini naomba niuite" fikra zinazojitosheleza" nadhani watanzania specially wanazpi wa outgoing regime wanashindwa kuelewa what it takes kufikia maridhiano, kama wao a single entity wamepitia turmoils nyingi that way, wanategemea itakuwaje kwa four entities kufikia hitimpisho? WAACHE UNAFIKI, WATUACHE TUPALILIE SHAMBA LETU ILI MAVUNO YAWE POMONI GHALANI. nimekuelewa sana mkuu na waelewe hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom