Recent content by slay queen

  1. slay queen

    Roho yangu inakuwa ngumu kuamini kuwa hii ni damu yangu

    Kaka hilo ni papai na. Mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo unataka kuibiwa kisa inaonekana unahuruma piga chini Sent using Jamii Forums mobile app
  2. slay queen

    TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]utaelewa tu barakoa na santizer .. kulisaitazer tumbo kwa vladmir Sent using Jamii Forums mobile app
  3. slay queen

    Ogopa hizi shuhuda

    Mi nakanuni yangu ,hakuna pesa ya mkato ...mambo ya dili dili yalishapitwa na wakati Sent using Jamii Forums mobile app
  4. slay queen

    Tabia ya kujishika sehemu za siri

    Hiyo inatokana na kupenda kufanya punyeto tafta mtaalamu wa saikolojia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. slay queen

    Cassava Starch of Tanzania Corporation yafilisika

    Mi siamini kama wamefirisika ila sema tu wameamua kuhamisha uwekezaji wao kutoka Tz kwenda kwingine ...maana walikuwa na dhamna za kutosha inawezekana sera sio rafiki kwao Sent using Jamii Forums mobile app
  6. slay queen

    Kwa wale walio mapenzini

    Haha mapenzi ulaya bongo ni biashara Sent using Jamii Forums mobile app
  7. slay queen

    Mabaharia peke yake naomba mnipatie ushauri kuhusu huu mchepuko wangu

    Komaa kabisa unakataje tamaa mapema hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. slay queen

    Salary Advance: Janga linalowatafuna Watumishi wa Umma

    Mishahara ni ya kwetu wewe kama hauna chek no kausha , usituonee wivu ...kupanga ni kuchagua Sent using Jamii Forums mobile app
  9. slay queen

    Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

    Ni kweli zuku wana internet ya fibre inacharaza sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. slay queen

    Kwa maslahi mapana ya taifa, Zitto ungana na Tundu Lissu tuchukue nchi

    Hixo ni mdoto za kutoka kuvuta jani cdm imepoteza falsafa na mwelekeo leo iungane na ACT ....Nchi haichukuliwi kirahic hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. slay queen

    Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF

    Naunga mkono hoja kweli ,wengi humu watembeza bahasha tu kila ofisi halafu wanajifanya wamefanikiwa wanaleta maisha ya chuo looooooo badirikeni Sent using Jamii Forums mobile app
  12. slay queen

    Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

    Wanaume wengi hawajielewi kabisa mtu anakuja pm badala ya salamu anaanza oyo uko pande za wapi? ** Hiyo hapo number nitafute whatsap utadhani alininunulie yeye simu ** Mara ooh wewe mrembo sana naomba picha sijui nani kamwambia kuwa nagawa picha Lugha zenu sio nzuri kabisa !! Halafu wengi...
  13. slay queen

    Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    Hizi ni roho za kishetani kabisa ...kwa jina la yesu zishindwe....wanaofanya hivyo huwa nawaona kama wamejikatia tamaa na maisha Sent using Jamii Forums mobile app
  14. slay queen

    Mwenza wangu kaomba nimkopeshe hela

    Ww mpe ,halafu jikaushe ndio mwanzo wa kumsoma Hata ikienda hakuna tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. slay queen

    Nimesitisha shughuli zote za kutongoza kwa kipindi cha miezi6 ya mwanzo kupisha mikosi inayoniandama..

    Pole mkuu kwa yanakusibu ,sio kila demu anayesema ndio kamaanisha .....wanazingua sana ....yaani jipange haswaa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom