Salary Advance: Janga linalowatafuna Watumishi wa Umma

Mkuu kwani hiyo pesa ni ndefu sana 950k wakati ni wastani wa shilling 30,000 kila siku...ambazo na dereva boda boda anazipata mama tilie, fundi cherahani dala dala muuza matunda nk. ....wakati hata wakuenda shule

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaakili fupi sana mkuu, mi nikiumwa huo mzigo unaingia sasa mwambie bodaboda aharishe siku tatu tu
 
Ndugu yangu Kama unamfananisha bodaboda na mtumishi wa umma Utakua huwajui bodaboda kwa kina na hujawahi kuendesha bodaboda.
Sijajua bodaboda wa Dar ila Huku mikoani kwetu bodaboda wengi wameajiriwa hawajajiajiri, pikipiki sio zao.
Na ndugu zetu ni bodaboda kila Siku tunawasaidia kwa majanga wanayokutana nayo hata basic needs tu kuna wakati zinawapiga Chenga.
Kama leo wakikusanywa bodaboda wakaambiwa waajiriwe walipwe mshahara Wa 300,000 kwa mwezi hakuna atakaekataaa.
Mtumishi wa umma anapata manufaa makubwa Sana, anauhakika pia Wa Maisha na anakopesheka na taasisi nyingi.
Akiumwa ataendelea kupata mshahara hata alazwe hospital Miezi 6 mfululizo. Subiri bodaboda aumwe au apate Ajali hapo kama ni ndugu yako ujue nimzigo wako moja kwa moja. Yaani tunavyohangaika na hawa ndugu zetu tuliowakabidhi bodaboda kuna mtu anaandika Kakaa sehemu kwamba wanahela wanapata hadi 900,000 kwa mwezi unamshangaa Sana labda Jamaa aliyesema hivyo ni motivational speaker.
Kazi ya umma haina risk kubwa sana Kama kazi ya kujiajiri unaweza kufanya kazi ya umma na ukafanya biashara zingine pia.
Mfano bodaboda anaweza kupata madhara ya kiafya kwa kazi yake ya kufukuza upepo tofauti na muhasibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambao hamjui kaeni chini sasa..... Kenge nyinyi .. Benki zinatoa mkopo wa 18% ... Private lender's ( wakopeshaji binafsi wanatoa 30
Sista achana nao hao ... Nakupa real fact ... Salary yangu Nominal (bila makato yoyote ni 1,250,000/=). Baada ya makato na
Heslb wanakata 188, 250, income tax 288,480 nhif, talwg,... Nabaki na take home kama 950,000 mshahara ukiingia nautoa wote .. Nikibanwa nakopa nusu mshahara kwani tatizo nini....yaani 5% ndio itusumbue wakati
Mkuu hii ni TGHS F au TGHS E?
 
Mtoa uzi hujaelezea ubaya wa hii kitu ni nini? Hasara anayopata mkopaji ni nini ikiwa amepata sababu ya kukopa? Nachohisi, mtoa thread ni mmoja wa wakopeshaji wa mtaani ambao "salary advance" imewapiga Kofi la uso maana wateja wamewakimbia
 
Kuondokana na hii kitu ama

1. Serikali pamoja na taasisi nyingine waanzishe japo kulipa allowance katikati ya mwezi kama ambavyo askari wanapewa.

2. Malipo ya mishahara yagawanywe mara mbili, kati ya mwezi watu wapewe mishahara hata kama ni 40%.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona hii ndiyo mbaya kabisa balance haikubali.
Bora upewe mara moja upange matumizi inayobaki yote ni juu yako
 
Mishahara ni ya kwetu wewe kama hauna chek no kausha , usituonee wivu ...kupanga ni kuchagua

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lakini Mshahara wako kuchukuliwa salary advances kwa riba hapana CRDB wamekuwa wakitoka Riba kubwa mshahara wa kwako why mshahara unaingia kwenye Benk husika au NMB wao wamekuwa na Reg ya kuomba Salary Advances jamani hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hiki kitu kinaitwa 'Salary Advance' ambapo mabenki yanawakopesha Watumishi wa Umma online kupitia akaunti zao za mishahara yao!

Nimeona NMB, CRDB wanayo hii huduma.

Unaweza kukopa mpaka 40% ya take home ya mishahara yao. Ni lazima uwe umejiunga na SIM Banking au NMB Mobile, kwani unatumia simu kuuchota huo mkopo.

Kwahiyo mtu akishapata mshahara wake, hapohapo anavuta huo mkopo. Mshahara wake unapoingia wanakata fasta juu kwa juu. Akipokea, anaomba tena siku hiyohiyo.

Nimeona Watumishi wengi wa serikali wanaitumia sana hii huduma. Imeshawaharibu kabisa Watumishi wa Umma.

Shida sana nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo?
 
Ndugu yangu Kama unamfananisha bodaboda na mtumishi wa umma Utakua huwajui bodaboda kwa kina na hujawahi kuendesha bodaboda.
Sijajua bodaboda wa Dar ila Huku mikoani kwetu bodaboda wengi wameajiriwa hawajajiajiri, pikipiki sio zao.
Na ndugu zetu ni bodaboda kila Siku tunawasaidia kwa majanga wanayokutana nayo hata basic needs tu kuna wakati zinawapiga Chenga.
Kama leo wakikusanywa bodaboda wakaambiwa waajiriwe walipwe mshahara Wa 300,000 kwa mwezi hakuna atakaekataaa.
Mtumishi wa umma anapata manufaa makubwa Sana, anauhakika pia Wa Maisha na anakopesheka na taasisi nyingi.
Akiumwa ataendelea kupata mshahara hata alazwe hospital Miezi 6 mfululizo. Subiri bodaboda aumwe au apate Ajali hapo kama ni ndugu yako ujue nimzigo wako moja kwa moja. Yaani tunavyohangaika na hawa ndugu zetu tuliowakabidhi bodaboda kuna mtu anaandika Kakaa sehemu kwamba wanahela wanapata hadi 900,000 kwa mwezi unamshangaa Sana labda Jamaa aliyesema hivyo ni motivational speaker.
Kazi ya umma haina risk kubwa sana Kama kazi ya kujiajiri unaweza kufanya kazi ya umma na ukafanya biashara zingine pia.
Mfano bodaboda anaweza kupata madhara ya kiafya kwa kazi yake ya kufukuza upepo tofauti na muhasibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa .
Inafikia mahala unajiuliza huyu mtu anawakebei wa hali ya chini inamaana yeye ni kama mbingu hatoshuka?? Yaani unapata take home 900,000 wakat kunamtu anapokea 300,000 anaomba Mungu aongezewe elf50 ili hali iwe ahuweni. Hakuna anaependa kukopa bali yakikukuta utajikuta inakubidi ukakope .
 
Kuna hiki kitu kinaitwa 'Salary Advance' ambapo mabenki yanawakopesha Watumishi wa Umma online kupitia akaunti zao za mishahara yao!

Nimeona NMB, CRDB wanayo hii huduma.

Unaweza kukopa mpaka 40% ya take home ya mishahara yao. Ni lazima uwe umejiunga na SIM Banking au NMB Mobile, kwani unatumia simu kuuchota huo mkopo.

Kwahiyo mtu akishapata mshahara wake, hapohapo anavuta huo mkopo. Mshahara wake unapoingia wanakata fasta juu kwa juu. Akipokea, anaomba tena siku hiyohiyo.

Nimeona Watumishi wengi wa serikali wanaitumia sana hii huduma. Imeshawaharibu kabisa Watumishi wa Umma.

Shida sana nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
kidogo wako cheap ulilinganisha na mtaani kwa mfano ukikopa laki moja riba ni elfu 5000
 
Back
Top Bottom