Ahhaahaha duh aya bhana nimekuelewa.Licha uombwe hutaki kutoa hiyo ni hela ya majaribu ukipewa na mume usiweke miguu yote ndani seriously.
Namtoto now na huyo mtoto anakula kama nini.
Halafu uniagaie 20
Ila hela ya mboga ya jioni inahusiana nn na hela zingine za kuomba mahitaji mengine??!
Ila ninyi maboss sisi makapuku 20k inatosha sana dada angu.