Tabia ya kujishika sehemu za siri

Tabia ya kujishika sehemu za siri

Suruhisho rahisi hiyo mikono uwe unapaka pilipili,
Tatizo lako litaisha na utajinusuru na Korona
 
badilisha hiyo avatar......inataka kuyaingia maisha yako halisi. badilisha na hayo yataisha!!

au

amua kuelimika tu, kiiruhusu akili yako kukubali kwamba huo ni uchafu na hayo yataisha!
 
Nina tabia ya kupenda kujishika sehemu za siri nikilala au hata kama sijalala nikiwa peke yangu. Mpaka sasa hata nikiwa kwa group ya watu hali ya kutaka kujishika inanijia lakini na control.

Zamani nilikuwa na tabia ya kuchezea kitovu sasa hii tabia imepotea imekuja ya kushika sehemu za siri.

Nifanye nini ili niache hii tabia nisije nikapata aibu?
Corona iishe shule zifunguliwe tuu aisee,
 
Back
Top Bottom