Recent content by Sky net

  1. Sky net

    Mwigulu Nchemba aikimbiza mchakamchaka Mbeya, Tunduma na Kyela

    Mbona kaachia mindevu ka Jonas Savimbi?hapo wanashangilia sera au wanamrushia mawe?
  2. Sky net

    Nabii TB. Joshua atabilri ushindi wa mabadiliko

    Hawa nao sio wa kuwaamini.wanatafuta hela.muhimu tumia ubongo wako
  3. Sky net

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Kazi ya kampeni ni ngumu kidogo.ukipata fursa itumie endelea na safari.hakuna jambo la ajabu hapo.kipindi hiki kazi na dawa.piga kura kwa Lowasa linda ushindi
  4. Sky net

    Mbowe: Cultist, Manipulator, Cruel, Untouchable chairman of CHADEMA for Life; Dictator in the making

    Mleta hoja ni mbayuwayu.usiwe na roho mbaya kiasi hicho.huo ni uchochezi na lazima umetumwa.tumia akili zaidi ya damu
  5. Sky net

    Kwanini wanahabari hawamtaji Mhe Rais Kikwete kama Professor?

    Ni rais gani duniani anaitwa profesa.sembuse wa kupewa.ataitwa na wanae.heshima ni pale unapofanya mambo ya heshima kwa watu wake.Tanzania tunashindw nini kumpa heshima ya uprofesa hadi apewe na wazunge.kama ndo hivyo hao wazungu ndo wamuite prof.
  6. Sky net

    Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    Watoto wasiwe na wasiwasi.baba yao atafufuka Lowasa akiingia Ikulu tarh 25 Oct
  7. Sky net

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Baada ya kifo maneno ni mengi(consipiracy).kwa mtazamo wangu ajali ilisababishwa na usingizi kwa dereva.fuatilia ratiba zao toka Mbeya hadi eneo la ajali.je dereva alipata muda wa kulala?saa 11 alfajiri ni muda hatari sana.ajali nyingi za muda huo husababishwa na usingizi
  8. Sky net

    Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

    Dr slaam anapanda jukwaani kuanika nguo alizotupiwa na mkewe?
  9. Sky net

    Lowassa kustaafu siasa

    Nimepita tu wadau.hamna hoja
  10. Sky net

    Hapa sasa nina imani na kwa uongozi huu tumempata Rais wa Tanzania

    Magufuli anawapotezea watanzania muda wao..huku anasema atakomesha ufisadi..huku nyuma ccm inauza mali ya umma.ebu tuambie Hisa za TBL wameuza kwa sabb fani,pesa zipo wapi?je kwa nn wamechukua hela chama cha walimu kinyemela????ukijibu hayo tutaenda sawa
  11. Sky net

    Askofu Kilaini: Sifa kuu nne za mgombea ambaye atakuwa Rais wa nchi

    Mbona sifa 4 zimeumuka hadi 8
  12. Sky net

    Lowassa Kutikisa Dar es Salaam kesho Oktoba 01, 2015

    Mbona taarifa muhimu zinafutwa hapa JF?ebu wahusika watoe kauli.
  13. Sky net

    Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    Ccm imepalilia uongo kila mara.hata wizi wa hela za Escrow walisema sio hela za walipa kodi.kila jambo wanakanusha.kwa imani yangu tukio la Loliondo ni ukweli mtupu kwani kampuni yenye kibali cha kuwinda ndio inayobeba wanyama wetu.Aliyekanusha aje atuambie pori tengefu la Loliondo ameuziwa nani...
  14. Sky net

    CCM Lowassa tukutane hapa

    Dr Makuri anagombea kitu gani?@monges
  15. Sky net

    Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

    Mtikila ana kesi zaidi ya 69 mahakamani.ukimpeleka tena utamsababishia matatizo makubwa
Back
Top Bottom