Hapa sasa nina imani na kwa uongozi huu tumempata Rais wa Tanzania

KISESERA

Member
Sep 21, 2015
86
38
Kwa kipindi hiki cha kampeni nimekuwa nikijifunza siku hadi siku zinavyozidi kusonga. ilifika kipindi nilikuwa nikisikiliza sana mitaani watu wanaema, ambapo nilpata kujiaminisha kuwa bado hatjapata mtu sahihi
kwa sasa nimekiri macho yangu yalikuwa na haraka.
kila ninapomsikiliza Dr. Magufuli JPM namuona Raisi wa Tanzania.
Amehutubia leo ktk maelefu ya watu wa Singida na kutoa rai kali sana kama kunawapiga dili kwenye chama na serikali.
Huku akisisitiza kuwa Tanzania tunamudu kujiongoza kwa kuwa na mahitaji yote hatika makundi endapo tu MFUMO WA RUSHWA UTAKOMESHWA NCHINI
 
hakuna lolote wala hakuna hata mfano wa raisi hapo! leo ndo amejua kuna wapiga dili serikalini? mulize alisimama upande gani hata kwa kuonyesha kuchukizwa tu na uporaji wa mabilioni serikalini kama epa,escrow nk? mulize kwann tudaiwe zaidi ya sh bilion 900 kama adhabu ya kuchelewesha malipo ya wakandarasi wakati yeye akiwa waziri wa ujenzi? mulize kwann aliuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa kwa ndugu,marafiki na mahara zake? HAFAI HATA KUWA MWENYEKITI WA MTAA.
 
CCM haiwezi kuanzisha rushwa halafu ikaweza kuikomesha yenyewe.
Suluhu ya rushwa itatoka nje ya ccm.
Nje ya CCM ni wapi huko? Lowassa ni CCM. Amekulia huko. Amelelewa huko. Kama unadhani kwamba mwezi huu mmoja aliokimbia ndo UCCM wa maisha umemtoka unajidanganya.

Hakuna atakayeweza kukomesha rushwa Tanzania - si Lowassa si Magufuli. Rushwa ndiyo inaendesha dunia sema tu viwango vinatofautiana.
 
Magufuli anawapotezea watanzania muda wao..huku anasema atakomesha ufisadi..huku nyuma ccm inauza mali ya umma.ebu tuambie Hisa za TBL wameuza kwa sabb fani,pesa zipo wapi?je kwa nn wamechukua hela chama cha walimu kinyemela????ukijibu hayo tutaenda sawa
 
nje ya ccm ni wapi huko? Lowassa ni ccm. Amekulia huko. Amelelewa huko. Kama unadhani kwamba mwezi huu mmoja aliokimbia ndo uccm wa maisha umemtoka unajidanganya.

Hakuna atakayeweza kukomesha rushwa tanzania - si lowassa si magufuli. Rushwa ndiyo inaendesha dunia sema tu viwango vinatofautiana.

akili zaki ndogo lowassa ni ccm kivipi kama lowassa ni ccm mnahangaika na nini usiku na mchana kufanya kampeni? Wewe una ujinga mwingi kweli
 
Mimi wala sina chama na comment yangu inajieleza ukiisoma vizuri. Tatizo la watu kama wewe hata hamsomi mtu anajaribu kusema nini bali mnakimbilia kutoa mapovu na kutukana wenzenu. Siasa si siasa, Upumba.vu si upumba.vu ali mradi vurugu tupu. Haya mi nina ujinga mwingi we una nini? Oktoba 26 jua litachomoza na maisha yataendelea!
 
Kwa kipindi hiki cha kampeni nimekuwa nikijifunza siku hadi siku zinavyozidi kusonga. ilifika kipindi nilikuwa nikisikiliza sana mitaani watu wanaema, ambapo nilpata kujiaminisha kuwa bado hatjapata mtu sahihi
kwa sasa nimekiri macho yangu yalikuwa na haraka.
kila ninapomsikiliza Dr. Magufuli JPM namuona Raisi wa Tanzania.
Amehutubia leo ktk maelefu ya watu wa Singida na kutoa rai kali sana kama kunawapiga dili kwenye chama na serikali.
Huku akisisitiza kuwa
Tanzania tunamudu kujiongoza kwa kuwa na mahitaji yote hatika makundi endapo tu MFUMO WA RUSHWA UTAKOMESHWA NCHINI

Ni kweli kabisa. Watanzania Tusikubali Kuendeleza Ufisadi wa Wanamtandao Kwa Kupitia Lowassa.

MAGUFULI = MAGEUZI + MAENDELEO

LOWASSA = UFISADI
 
Mimi wala sina chama na comment yangu inajieleza ukiisoma vizuri. Tatizo la watu kama wewe hata hamsomi mtu anajaribu kusema nini bali mnakimbilia kutoa mapovu na kutukana wenzenu. Siasa si siasa, Upumba.vu si upumba.vu ali mradi vurugu tupu. Haya mi nina ujinga mwingi we una nini? Oktoba 26 jua litachomoza na maisha yataendelea!

Lakini una chuki zilizovuka mipaka na Lowassa
 
Sina chuki na Eddo wala Magufuli. Sina mapenzi mahaba na Lowassa wala Magufuli. Kwangu mimi wote ni wanasiasa tu na sidhani kama kuna atakayenisaidia kwa lolote. Karibu wote wanatoa ahadi ambazo hazitekelezeki na wanacheza na akili za watu tu. Hakuna hata mmoja anayeshadadia matatizo yetu ya kimfumo? Badala yake ni masuluhisho ya juu juu tu na miahadi kibao isiyotekelezeka.

Na kwa nini ni kosa la jinai kumkosoa Eddo na mtu anayefanya hivyo ni lazima atukanwe? Yeye ni mwanasiasa mkamilifu?
 
Hapana hakuna mkamilifu hata mmoja si wanasiasa tu bali hata mimi na wewe, comment yangu nimeileta baada ya kuona muda mwingi kwenye post nyingi unamshambulia Lowassa binafsi
 
Kwa kipindi hiki cha kampeni nimekuwa nikijifunza siku hadi siku zinavyozidi kusonga. ilifika kipindi nilikuwa nikisikiliza sana mitaani watu wanaema, ambapo nilpata kujiaminisha kuwa bado hatjapata mtu sahihi
kwa sasa nimekiri macho yangu yalikuwa na haraka.
kila ninapomsikiliza Dr. Magufuli JPM namuona Raisi wa Tanzania.
Amehutubia leo ktk maelefu ya watu wa Singida na kutoa rai kali sana kama kunawapiga dili kwenye chama na serikali.
Huku akisisitiza kuwa Tanzania tunamudu kujiongoza kwa kuwa na mahitaji yote hatika makundi endapo tu MFUMO WA RUSHWA UTAKOMESHWA NCHINI
Title ya thread yako nzuri sana lakini maudhui yake yanapishana kabisa. Hakuna raisi mzuri atatoka CCM. Tumeshajaribu ya kutosha na data tulizonazo zinadhibitisha pasipo shaka CCM uongozi wa nchi umewashinda sasa kilichobaki Ni tabaka fulani linalotafuna keki ya taifa na familia zao bila kujali wananchi wengi wanaoteseka kila kukicha. Wakati wanyonge wanafia muhimbili kwa kukosa dawa wenye madaraka na ndugu zao wanafia india kwa maradhi ambayo tangu awali yanajulikana kutokuwa na matibabu muafaka. Push ups pigeni lakini hazitowapeleka ikulu. Ikulu sio Gym na kizazi hiki kinataka kuona mabadiliko hivyo kuiweka CCM ikulu sio mabadiliko. Raisi wa Tanzania atatoka UKAWA. Meza usimeze huo ndio UKWELI 👏👍
 
Post nyingi unamshambulia Lowassa binafsi
Ni kweli huko nyuma. It was a matter of principle. Nilikuwa bado sijaamini kama kweli kaondoka CCM. For some reason niliamini kuwa ilikuwa ni game tu ya kisiasa wanacheza na swahiba wake JK na niliumia sana Dr. Slaa alipowekwa pembeni. Hata sasa fukuto hilo halijanitoka na bado nahisi kama vile something catastrophic gonna happen na kuua ndoto hizi za Tanzania mpya bila CCM.

On the other hand CCM haipaswi kuhurumiwa. Dharau na kiburi kimewaponza. Dharau ya kwenda na lumbesa kugawana pesa za mboga Mkombozi na Stanbic bank mchana kweupe wakati wa Escrow ilikuwa ni dharau ya waziwazi kwa Watanzania. Halafu wanalindana na mwenyekiti wao masikini yeye mpole tu kazi yake kucheka cheka tu. They deserve it na kama watachomoka safari hii basi watakuwa wamejifunza kitu na rushwa watakula lakini angalau watafikiri mara mbili mbili.
 
"Ubinafsi,ukiburi na tamaa zimewaponza...Wanarudia makosa wameshindwa kujifunza...Akili zao fupi kama maisha ya funza...Maandiko yanasema wa mwisho atakuwa wa kwanza...Ma starring wanakufa na ndio picha linaanza"-Joh Makini
 
Magufuli anawapotezea watanzania muda wao..huku anasema atakomesha ufisadi..huku nyuma ccm inauza mali ya umma.ebu tuambie Hisa za TBL wameuza kwa sabb fani,pesa zipo wapi?je kwa nn wamechukua hela chama cha walimu kinyemela????ukijibu hayo tutaenda sawa
Wamechukua mali ya umma ili watoe rushwa. Sasa watawezaje kuitokomeza?
 
Kwa kipindi hiki cha kampeni nimekuwa nikijifunza siku hadi siku zinavyozidi kusonga. ilifika kipindi nilikuwa nikisikiliza sana mitaani watu wanaema, ambapo nilpata kujiaminisha kuwa bado hatjapata mtu sahihi
kwa sasa nimekiri macho yangu yalikuwa na haraka.
kila ninapomsikiliza Dr. Magufuli JPM namuona Raisi wa Tanzania.
Amehutubia leo ktk maelefu ya watu wa Singida na kutoa rai kali sana kama kunawapiga dili kwenye chama na serikali.
Huku akisisitiza kuwa Tanzania tunamudu kujiongoza kwa kuwa na mahitaji yote hatika makundi endapo tu MFUMO WA RUSHWA UTAKOMESHWA NCHINI
Kuna wenzio pia kama wewe hapo hapo Singida walikuwa wanajiuliza the same thing lakini alipo hutubia Lowassa hapo Singida na wanavyo zidi kufuatilia kampeni zake za mikoani wameamua yeye ndio awe Rais wa Tanzania. Tanzania hatumudu kujiongoza wenyewe kiuchumi potelea mbali ndani ya miaka mitano , ni zaidi ya miaka 20 bado tutaendelea kuwa tegemezi hata kama ikatokea kila mtanzania akawa mlokole na kuacha wizi. Unajua ndugu kuna Topic nyingine ni za kipuuzi kweli. Uniwie radhi.
 
Mimi wala sina chama na comment yangu inajieleza ukiisoma vizuri. Tatizo la watu kama wewe hata hamsomi mtu anajaribu kusema nini bali mnakimbilia kutoa mapovu na kutukana wenzenu. Siasa si siasa, Upumba.vu si upumba.vu ali mradi vurugu tupu. Haya mi nina ujinga mwingi we una nini? Oktoba 26 jua litachomoza na maisha yataendelea!

Kwahiyo hutapiga kura kabisa.
 
Back
Top Bottom