Kwanini wanahabari hawamtaji Mhe Rais Kikwete kama Professor?

Adolf Mark

Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
50
Reaction score
26
Wadau,

Itakumbukwa kuwa Mhe. Rais Kikwete amewahi kutunukiwa PHD na uprofesa na vyuo kadha wa kadha. Jambo la kusikitisha wanahabari hawataki kumu-address kama professor? wameshikilia Dr tu?

Ikumbukwe kuwa na Rais Profesa inatujengea heshima kimataifa..
 
Wadau, itakumbukwa kuwa mh rais Kikwete amewahi kutunukiwa PHD na uprof na vyuo kadha wa kadha, jambo la kusikitisha wanahabari hawataki kumwaadress kama professor? wameshikilia Dr tu? ikumbukwe kuwa na rais profesa inatujengea heshima kimataifa.

Kawaida tu hata mbowe hawamu address kama mh. Form six mbowe au mh form six mnyika au mh. Form four sugu...take it eassy man!!
 
jibu zuri sana kwa huyo kijana wa vidole juu. wambea kama nini.
 
Wadau, itakumbukwa kuwa mh rais Kikwete amewahi kutunukiwa PHD na uprof na vyuo kadha wa kadha, jambo la kusikitisha wanahabari hawataki kumwaadress kama professor? wameshikilia Dr tu? ikumbukwe kuwa na rais profesa inatujengea heshima kimataifa.

Ulisikia wapi U-Prof. Unapewa zawadi?
 
Si kwenye kile chama chetu ndio tunaongoza tunapeana kila kitu hatuangalii huna taaluma au unayo,PEWA tu kwani mini?

Mwenye Taaruma ni Bulembo na Kibajaji ambao hawakumaliza hata Msingi. Ndiyo Makampeni Manager wa CCM
 
Kawaida tu hata mbowe hawamu address kama mh. Form six mbowe au mh form six mnyika au mh. Form four sugu...take it eassy man!!

kwa kiwango chako cha Elimu/ uelewa inaonekana hujamuelewa jamaa, ndio maana umeandika vitu visivyo na uhusiano chanya na hoja yake.
 
Wadau,

Itakumbukwa kuwa Mhe. Rais Kikwete amewahi kutunukiwa PHD na uprofesa na vyuo kadha wa kadha. Jambo la kusikitisha wanahabari hawataki kumu-address kama professor? wameshikilia Dr tu?

Ikumbukwe kuwa na Rais Profesa inatujengea heshima kimataifa..

Kha! Wewe mtu uliandika hii kitu ukiwa sober au tilalila kwa viloba?
 
Kibajaji na Bulembo wamehitimu elimu ya kutukana
 
Wadau,

Itakumbukwa kuwa Mhe. Rais Kikwete amewahi kutunukiwa PHD na uprofesa na vyuo kadha wa kadha. Jambo la kusikitisha wanahabari hawataki kumu-address kama professor? wameshikilia Dr tu?

Ikumbukwe kuwa na Rais Profesa inatujengea heshima kimataifa..

Hivi ukishapata digree1 tayar umekua profesa?
 
Kawaida tu hata mbowe hawamu address kama mh. Form six mbowe au mh form six mnyika au mh. Form four sugu...take it eassy man!!
Kwani ndo orodha imekamilika? Kwa sababu kuna waliogushi vyet, wapo ambao elimu zao haxina vithibitisho lakini pia wapo ambao wameshawahi kufanya kazi za kupiga debe stendi na wengine ambao utatupatia sifa zao.
 
Ni rais gani duniani anaitwa profesa.sembuse wa kupewa.ataitwa na wanae.heshima ni pale unapofanya mambo ya heshima kwa watu wake.Tanzania tunashindw nini kumpa heshima ya uprofesa hadi apewe na wazunge.kama ndo hivyo hao wazungu ndo wamuite prof.
 
Ma proffessor nao wapo wengi kuliko madakta.Na hata uwajibikaji wao ni katika mambo yasiyo na tija sana kisayansi na teknolojia.
 
Back
Top Bottom