Recent content by skankad one

  1. skankad one

    Hesabu hazidanganyi: Ni kwanini Diamond kadanganya kafikisha views milioni 10 ndani ya siku saba?

    Wapo Wapo wanaoingiza pesa kwa umbea huu huu mkuu. Siku hizi mitandao ni kitega uchumi kizuri tu ilimradi unajua kutumia umbea vizuri.
  2. skankad one

    Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

    FT, MWADUI 1-0 SIMBA NASIKIA YANGA WANAJIPOOZA KWA USHINDI WA MWADUI!! NZI NI NZI TU! SUBIRINI MKAKEKETWE HUKO UARABUNI J.PILI.
  3. skankad one

    Haya ni matumizi mabaya ya simu sijapata kuona

    Mimi alinipigia demu fulani mida ya saa sita usiku akaniuliza hivyo hivyo, 'umelala'? Nikamjibu hapana nipo nje naota jua! Akakata simu! Napenda watoto lakini sipendi utoto.
  4. skankad one

    Mahakama imeamua huyu mwanamke kuwa ni mwanaume

    Kwahiyo Walimvua Nguo Wakakishika Kikadinda?!! Mh!
  5. skankad one

    Kama Asili ya neno Kawe limetokana na kuwa ' Njia ya Ng'ombe ' yaani ( Cow Way ) vipi na kwa haya Maeneo Asili yake ni nini?

    Bila Kusahau, Msasani= Musa Hasani, Kwa Mnyamani = Mwinyi Amani, Rozana = Rozi Ana, Kilimanjaro = Kyalema Kyaro, Mikocheni = Michael Chain,
  6. skankad one

    Njia 10 nyepesi za kuwa mwanaume bora kwa mke/mwanamke wako

    Kuna Kaukweli Kwa Mbaaaali! Ila Siyo Mbaya! Kwann Umeiweka Kwny Hili Jukwaa?
  7. skankad one

    Siku nIlivyolala na Mke wa Mtu kiutani utani tu

    Fyatuu! Umetufyatua! Haya Bana Umeshinda! Ila Kuna Tofauti Kati Ya Kulala Na Kusinzia!
  8. skankad one

    PICHA: Majengo marefu zaidi Duniani, Jengo la kwanza lipo Dubai(UAE), China yaongoza kuwa na majengo mengi marefu Duniani

    Ukiwa Na Ardhi Ndogo Halafu Uchumi Unaeleweka Na Idadi Ya Watu Ni Kubwa, Lazama Utajenga Kuelekea Juu! Sisi Tuna Ardhi Ya Kutosha Na Watu Ni Wachache Tu, Magorofa Ya Nini? Hayo Yaliyojengwa Na Akina Mkapa Na Jk Yanatosha Kwa Sasa, Wacha Tujenge Tusivyo Navyo Na Ni Vya Muhimu. (fly Over, Reli...
  9. skankad one

    Swali baya

    Write your reply...Ubaya Wake Upo Wapi Wakati Mnyolewaji Ni Ww Na Atakayeumia Ni Ww
  10. skankad one

    Dogo na teacher

    Acheni Vituko Ninyi!
  11. skankad one

    Walking codes: Jinsi ya kutembea kwenye msongamano wa watu; usiiname ghafla

    Hata Uki-keep Right Cha Nyuma Hutakiona Pia.!!
  12. skankad one

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Pole Ndg. Anyway, Kwakuwa Umeshakubali Kufa Na Kuamini Kuwa Baada Ya Miezi 4 Hutakuwepo Tena Kwny Huu Ulimwengu, Je Umejiandaaje? Unajua Unaenda Wapi? (kuna Sehemu Mbili Tu Za Kwenda, Mbinguni Au Kuzimu) Je Wanafamilia Unawaachaje? Nauliza Hivyo B'coz Tayari Ww Mwenzetu Umebahatika Kujua Unakufa...
  13. skankad one

    Vitu 7 ambavyo yawezekana huvijui kuhusu mwili wako

    Nahisi Utafiti Haujakamilika! Je Zile Hewa Tunazotowaga Kupitia Msamiati Wa Trump(shit Hole) Walishawahi Kupima Na Kujuwa Ktk Maisha Yote Ya Mwanadamu Ni Sawa Na Mitungi Mingapi Ya Gesi? Je Ile Harufu Ingesindikwa Na Hewa Yake Hiyo Kwa Miaka 20 Labda Lingekuwa Aina Gani Ya Bomu? Je Tunaponyoa...
  14. skankad one

    Vitu 7 ambavyo yawezekana huvijui kuhusu mwili wako

    Mh! Hiyo No 1, Imetisha!! Swimming Pool Mbili Za Mate Kwa Maisha Yako Yote!! Lkn No, Kwan Maisha Yote Ya Mtu Ni Mda Gn Au Umri Gn? Kuna Wanaoishi Miaka 5, 50, 120 Na Wengine Masaa Tu, Sasa Wao Wametumia Umri Upi Kama Kipimio? Je Hizo S/pool Za Ukubwa Upi! Anyway,
Back
Top Bottom