Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,744
Simu yangu ina auto call record kina ninapopiga au kupigiwa. Hii call ya jana usiku saa tano na dakika 47 nimeisikiliza zaidi ya mara 3 na imenifikirisha nikaona ni bora niweze share na wadau.
Kumekuwa na matumizi mabaya sana ya simu. Huyu jamaa aliyenipigia ni mtu wa miaka 36, actually ni mdogo kwangu but kwa umri huo sikutegemea angebehave this way.
Mazungumzo yetu:
Yeye : hallo
Mimi: hallo
Yeye:mambo
Mimi: salama
Yeye: mitkasi
Mimi: salama
Yeye: upo poa
Mimi: yes
Yeye: michongo
Mimi: cool
Yeye: kila kitu shwari
Mimi: yeah
Yeye: upo lakini bro
Mimi: yeah
Yeye: umepotea kinoma bro
Mimi: nipo
Yeye: mitikasi
Mimi: cool
Yeye: nipe story
Mimi: sina
Yeye: umelala?
Mimi: yeaah
Yeye: vipi Man United unawaonaje sasa watafika kweli hata nne bora?
Mimi: tutaongea kesho
Yeye: ha ha ha ha...bro safari hii tumewashika pabaya mpaka mumfukuze Ole Sendeka
Mimi: kesho please
Yeye: Man U safari hii mnatukimbia hadi kwenye simu
Mimi:
Nikakata simu. Kiuhalisia nimemvumilia sana nikitaka kujua mwisho wake ungekuaje. Now nimeamua kum-block maana nimeona ni very stupid.
Tutumieni simu zetu vizuri. Unampigia mtu simu saa sita kasoro huna cha kuongea. Why?