Dogo na teacher

Sir Khan

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,254
9,617
Teacher:kila mwanafunzi hebu jaribu kufikikiria upo msituni halafu ukakutana na simba na hauna silaha yoyote,utafanya nini ili kujiokoa?
dogo:mwalimu,ili nisiliwe na simba basi nitaacha kufikiria huo upuuzi.
dogo ameambiwa baada ya kipindi aende ofisini itakuwa wanataka kumpandisha darasa
%by Sir Khan.born 2 win%
 
Mwalimu alitaka wanafunzi wote wachore mbuzi anakula majani
Dogo mmoja hakuchora chochote akarudisha karatasi hivyo hivyo tupu hakuchora kitu
Mwalimu. Dogo mbona hujachora mbuzi?
Dogo : mwalimu nilichora ila amekula majani yote akaondoka zake ndio maana humuoni
Aliambiwa atangulie staffroom
Dogo anaenda huku akifurahi
Anaenda pewa zawadi na mwalimu
 
atachezea za kutosha mpaka mbuzi ataonekana kwenye karatasi
 
Hivi simu za iPhone ukajichanganya na baba mkwe tai badala ya chapati kumbe homon alafu Machame kuna uchochoro ndipo Namason Mnangagwa.










































I love you ganja
 
Back
Top Bottom