Kama Asili ya neno Kawe limetokana na kuwa ' Njia ya Ng'ombe ' yaani ( Cow Way ) vipi na kwa haya Maeneo Asili yake ni nini?

skankad one

Member
Nov 11, 2015
73
125
Bila Kusahau,
Msasani= Musa Hasani,
Kwa Mnyamani = Mwinyi Amani,
Rozana = Rozi Ana,
Kilimanjaro = Kyalema Kyaro, Mikocheni = Michael Chain,
 
Top Bottom