Recent content by sjosh4

  1. sjosh4

    Nahisi amenicheat au mimi ndio mchepuko

    Mkuu, naomba niseme wewe ni dhaifu
  2. sjosh4

    Hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana 'honey na babe' kweli?

    Mkuu naomba niseme wewe ni stupid Ulithibitisha vp kama ni mjomba wake!?
  3. sjosh4

    Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

    Acha nijisikie mwenyewe kutoa, we umekuwa ombaomba
  4. sjosh4

    Dada zangu punguzeni machaguo, muolewe...

    Cha msingi mkuu chukua size yako Hutojuta wala kulalamika Shoot in your league
  5. sjosh4

    Roma Mkatoliki anafanya nini Marekani?

    Hayo mahesabu, hujatoa kodi, na matumizi pia ni makubwa kuliko bongo. Mkuu achana na stori za vijiweni.Mambo sio marahisi kama ulivyoweka hapo
  6. sjosh4

    Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

    Kwa nje, ni vikwazo sababu ya S-400, ila kwa ndani vita baridi kati ya USA against Turkey. Hii ishu imeanzia kwenye failed coupe d'etat, ikaja ishu ya wakurd na pia kucounter influence ya turkey middle east ambayo inatishia interest za marekani
  7. sjosh4

    Huyu mwanamke atanitoa roho

    Tatizo weakness unazifanya kuwa za jumuiya, mwanaume unatakiwa strong
  8. sjosh4

    Nampenda lakini ana tabia za uswahili uliopitiliza. Nifanye nini kumbadilisha?

    Naona samaki mwingine wa kuogelea nchi kavu sababu ya Hamida. Mwenye ile clip ya Hamida atupie kama kimbukuzi
  9. sjosh4

    Huyu mwanamke atanitoa roho

    Hilo haliwezekani, siwezi kulialia kisa nwanamke.
  10. sjosh4

    Huyu mwanamke atanitoa roho

    Shida ni mindset, but ni suala la muda tu, watu wanakuja na kuondoka. Alafu wadada hawependi wanaume wanaolilia na kujibebishabebisha, ndo maana kasepa Even if you are desperate, usionyeshe
  11. sjosh4

    Ulishawahi kukesha 'hewani' kwa ajili ya penzi jipya?

    Hapa watu mnajifanya watu wazima na kukesha ni utoto, ila kidizaini mnaongea na simu mpaka ngoma saba. Acheni usnitch
  12. sjosh4

    Huyu mwanamke atanitoa roho

    Stupid, kwani huyu dada una copyright nae au? . Ila bora alivyokuacha mkuu, Mwanaume unalilia kuliko mdada!? Huu ni umama Ukikuacha tafuta pisi nyingine tulia
  13. sjosh4

    Wanaume wanaopenda kununa

    Mshikaji wknd alikuwa anachit kwa amani tu.
  14. sjosh4

    Hakuna swali ambalo sipendi kama unafanya kazi gani, pale tu unapoanza kumfatilia Mwanamke

    Notoaga jibu la sina kazi, ni uamuzi wake kukubali au kukataa Kwani anataka kunipa hajira?
Back
Top Bottom