Hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana 'honey na babe' kweli?

Wakuu nina demu nina mpenda sana na ananipenda ila jana nimekuta sms akiwa nachart na anko wake ninaemjua kuwa ni anko wake. Kinachonishangaza wanaitana honey na babe hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana hny na babe kweli? Nishaurini kabla kichwa changu hakijaamua maamuzi magumu maana kichwa changu hichi nakijua kwa kuamuwa japo yeye anasema wamezoeana kuitana hivyo na anko wake nae ni kijana mwenzake
Anko anamega mzigo huo ndo ukweli kwahyo ni juu yako kuamua. Sikuiz ndugu kulana imekuwa kawaida sanaaa nakumbuka nilopikuwa mdogo sekondari huko nshawahi kuwa na mahusiano ya kimapenz na mtoto wa binamu yangu huyu tulikuwa age mate japo sikumgonga lakin mate na michezo mingine ya kipuuzi tulifanya sanaa
 
Kama huyo demu wako ni Muhaya ama Mnyambo basi juwa analiwa na huyo mjomba wake....wale jamaa hawana miiko kwenye kuchapana miti ndani ya ukoo.
 
Anko anamega mzigo huo ndo ukweli kwahyo ni juu yako kuamua. Sikuiz ndugu kulana imekuwa kawaida sanaaa nakumbuka nilopikuwa mdogo sekondari huko nshawahi kuwa na mahusiano ya kimapenz na mtoto wa binamu yangu huyu tulikuwa age mate japo sikumgonga lakin mate na michezo mingine ya kipuuzi tulifanya sanaa
Mkuu, wewe ni Muhaya ama Mnyambo?
 
Ukiona manyoya Mkuu......Za kuambiwa 😜
Wakuu nina demu nina mpenda sana na ananipenda ila jana nimekuta sms akiwa nachart na anko wake ninaemjua kuwa ni anko wake. Kinachonishangaza wanaitana honey na babe hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana hny na babe kweli?

Nishaurini kabla kichwa changu hakijaamua maamuzi magumu maana kichwa changu hichi nakijua kwa kuamuwa japo yeye anasema wamezoeana kuitana hivyo na anko wake nae ni kijana mwenzake
 
Huenda si ankal wake huyo, hao wanakulana tu suala la ankal ni kisingizio tu ili kukuchanganya akili na kukupoteza
 
Wakuu nina demu nina mpenda sana na ananipenda ila jana nimekuta sms akiwa nachart na anko wake ninaemjua kuwa ni anko wake. Kinachonishangaza wanaitana honey na babe hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana hny na babe kweli?

Nishaurini kabla kichwa changu hakijaamua maamuzi magumu maana kichwa changu hichi nakijua kwa kuamuwa japo yeye anasema wamezoeana kuitana hivyo na anko wake nae ni kijana mwenzake
Acha uzembe.....kuna mabinamu wanakulana vizuri tu nnawajua Ila watu hawajasanuka
 
Mkuu naomba niseme wewe ni stupid
Ulithibitisha vp kama ni mjomba wake!?
 
Ninacho weza kushauri mshushe daraja awe Malaya tu wa kawaida uendelee kujichapia kwa bei nafuu huku ukiendeleza harakati zako
 
Wakuu nina demu nina mpenda sana na ananipenda ila jana nimekuta sms akiwa nachart na anko wake ninaemjua kuwa ni anko wake. Kinachonishangaza wanaitana honey na babe hivi inawezekana mtu na anko wake kuitana hny na babe kweli?

Nishaurini kabla kichwa changu hakijaamua maamuzi magumu maana kichwa changu hichi nakijua kwa kuamuwa japo yeye anasema wamezoeana kuitana hivyo na anko wake nae ni kijana mwenzake
Bikra inahusika hapa!

c.c Jokajeusi
 
Back
Top Bottom