Recent content by sizya007

  1. sizya007

    Leicester City, Special Thread

    Doooh!!!:eek::eek: gambler will always be a gambler, i will gamble one more time and go for £1.3B....
  2. sizya007

    Leicester City, Special Thread

    Mwaka huu, una swali jingine?:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  3. sizya007

    Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

    Prestent future past tense:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  4. sizya007

    Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    Haya sasa nenda kamjulishe mkeo kuwa umefungua uzi wa kumhaibisha JF akija hapa akisoma comments za wadau ataona ni jinsi gani mumewe unavyompenda hata umeamua kuomba ushauri juu ya tabia yake, na atakushukuru na kujirekebisha.
  5. sizya007

    Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Punguza jazba kidogo comrade!! Kwahiyo kwako wewe ukiona jina Abdallah, Athumani au Habiba unafarijika sana ee?!:eek::eek::eek::eek: Dini sio jina shekhe, wapo kina Abdallah wanaishi kama kina John, na wapo kina Andrew wanaishi kama kina Hussein:rolleyes::rolleyes::rolleyes: au hili haulijui...
  6. sizya007

    Edward Snowden: Osama anaishi Visiwa vya Bahamas

    Nahisi jamaa haamini hata kama Osama amewai kuishi kabisa au hata kuexist:oops::oops:
  7. sizya007

    Walakini wa elimu yetu (casestudy UDSM)

    :D:D:D:D you need to have your brain scanned!:rolleyes:
  8. sizya007

    Edward Snowden: Osama anaishi Visiwa vya Bahamas

    Source si hiyo hapo juu kijana, au umekalili hako kamsemo ka source!! :eek::eek: Afu hii ni conspiracy theory, source ni mtoaji wa hiyo theory mwenyewe, sasa kama unategemea kuona source ni BBC, CNN, Fox tv au CCTV basi utasubiri sana:rolleyes:
  9. sizya007

    Nabii Penuel Mnguni aonja joto ya jiwe

    Mshana jr ombi binafsi.....najua uko packed with massive amount of information and knowledge, uje utoe darasa la freedom fighters na jim crow:rolleyes::rolleyes:
  10. sizya007

    mgeni

    Rexa:mad::mad::mad:
  11. sizya007

    mgeni

    Okay!! Wageni wa jinsi ya KE wanatakiwa waripoti kwangu....mie ndo mwenyekiti wa wakarimu humu ndani. Ni PM:D:D
  12. sizya007

    Nabii Penuel Mnguni aonja joto ya jiwe

    Freedom fighters:rolleyes::rolleyes::rolleyes: Inanikumbusha enzi za jim crow (USA):D:D Anyways! Huyo jamaa anastahili bakora tu.
  13. sizya007

    Mbwana Samatta aifungia tena timu yake

    Please msitualibie uzi kwa jadili ujinga
  14. sizya007

    Walakini wa elimu yetu (casestudy UDSM)

    Wana JF nawasalimu. Kuna uzi mmoja uliwakuletwa humu siku za nyuma kidogo ukielezea matatizo sugu yanayokikumba chuo kikongwe cha UDSM, nyuzi kama hizo ziko nyingi mno humu JF. Na wengi wa wachangiaji wanakiponda sana chuo hiki, wengine wamewai kuwa wanafunzi au hata watumishi pale na wengine...
  15. sizya007

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Kitengo cha propaganda cha sisi-em kiko vizuri, yaani wanajitahidi mno kufunika mambo kwa kutumia mbinu hatari. Uteuzi huu naona umekuja purposely katika muda huu ili kututoa katika tension ya kutaka kujua lile jina la afisa mstaafu wa BOT anaekula mamilioni ya pesa na pili ili kufanya habari...
Back
Top Bottom