Recent content by Six Pacs

  1. S

    Neno lolote kwa ex wako

    Aache kunisumbua,dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenye.Mti ukijiangusha unapanda mwingine.Harafu unauita "Mti Wangu" over
  2. S

    Nilimuonyesha Mama wa Taifa kanda ya mauaji ya Burundi

    Tunachojaribu kukielewa au kupata picha harisi ya Amani ya Nchi ya Burundi na watu wake kupitia vyombo vya habari kinaweza kikawa tofauti Na chanzo cha matatizo Na malengo ya wahusika.Kamwe mimi siamini au kukubari moja Kwa moja kupitia vyombo vya habari,kama tunavyofaham vyombo hivi vina...
  3. S

    Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

    Umenikumbusha mbali saaana! Walambo walambo mjae huku we see eee! Hapo boizia Na kazima lazima wakae mbali.Big up sana kwa Machine Yetu EL,ndo mana ana roho ya ukombozi,Mzuka Wa Milambo bado anaoo.Hapa sasa naamini kua October 25 asubuhi Nchi ipo walambo oyeeeee! Nimkumbuke Mwl Zoma,Katrige n.k.
  4. S

    Ukivaa jezi za CCM huna amani mtaani lakini Lowassa au za CHADEMA/CUF you feel proud, why?

    CCM imeshakua adui wa jamii (Public enemy), mwizi katika jamii ni adui mkubwa sana,ndio maana akikamatwa awe na bahati atafikishwa polisi akiwa hana bahati anaweza kuuawa na wananchi waliochoka kuibiwa mali zao.hilo ni funzo kwa ccm. Imejitengenezea picha mbaya sana kwa jamii, kama itashindwa...
  5. S

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Mpe Kazi Archtect, atakufanyia kazi ya kuchora ramani kulingana na unavyotaka,baada ya hapo ndo calculation ya gharama inafuata.Ningekusaidia kufanya kazi hiyo ila nipo nje ya Dar, ukipenda upate kijana mwenye uzoefu na shughuli hizo nitakusaidia namba zake na mtaongea na kuyamaliza.Mpende...
  6. S

    Kuna kitu kinakosekana kwangu, kwa kuwa nimekua bila malezi ya baba

    Ukweli upo palepale,Baba ni mhimu sana kwa mtoto,nadhani bora ukulie kwa baba kuliko kwa mama,ilimradi usikutane na mama wa kambo mkali napo pia waweza poteza kitu. Niliwahi kufuga kuku, wakati kuku anatetea akaja kutaga mayai nikadhani yatazaliwa majogoo mengine.Jogoo nikamlamba kisu wakati...
  7. S

    Alikiba kama ni dharau basi hizi hapa zimezidi

    Tutaupata wapi Na wengine tuusikilize,hapa nahahaaaa...nitausaka kila kina mpaka niusikie.
  8. S

    GE2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

    Tunatakiwa tuweke thread ya Sera za CCM Tangu Mfumo wa vyama Vingi kuanza.Wale wenye kumbukumbu watusaidie.Mimi binafsi naona marudio,hizo zimeendelea kuwa fimbo za kumchapa mpumbavu na Lofa.Wameanza Goli la mkono,wakaenda na kusema ni makapi waliohama CCM,hawakuishia hapo wanaendelea kusema Oil...
  9. S

    Kadi za kupigia kura za wanachuo zinaibiwa huku Dodoma

    Hata Mimi nimeshangaa kuambiwa kua kadi za askari police wameamriwa kukusanya.hii ni kweli na mashuhuda wapo.kikubwa UKAWA ilifanyie Kazi mapema iwezekanavyo.kama ndo maandalizi ya goal la mkono la ccm ili UKAWA tuwatafutie penalt ya haraka sana.ushindi SAA 2 asubuhi Na mapema.
  10. S

    Natafuta wateja wa kuku

    Solo-soko,majitan-majiran.samahanini sana ni hizi sim zetu za mchina
  11. S

    Natafuta wateja wa kuku

    Uko wap,unauzaje,usafiri n.k.sasa unaandika kama unakimbilia wap! Fanya kutangaza solo.tujuze kiundan wengine utakuta ni majitan zako.
  12. S

    Nina kampuni ya ujenzi, natafuta mtu mwenye vifaa vya ujenzi

    Pia Qs Wa kushirikiana nae unaweza kumpata.piga namba 0654456743
  13. S

    Lowassa kutoondoka CCM

    Ni afadhali hivo, maana threads za Lowasa kuhama CCM zimekua nyingi
  14. S

    Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona sijui kwanini?

    kakae guest kama huwezi kurudi Dom,zaidi ya hapo utavunja ndoa ya binam yako soon.Kwani kila ukitegwa lazima unaswe.mda mwingine uangalie mbele.
Back
Top Bottom