moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #501
mkuu kwahiyo wewe ndo master of lose ballz.?She was a lose ball
mkuu kwahiyo wewe ndo master of lose ballz.?She was a lose ball
Hapan mkuu the girl [emoji66] hakua worthy it...mkuu kwahiyo wewe ndo master of lose ballz.?
Jembe nikufate pm.?,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] barabara
Sanaa ctaki hata kumkumbukaahuo ni wimbo tu mkuu...Kwan alikuitikisa moyo wako hovyo hovyo.?
ahh poa mkuuHapan mkuu the girl [emoji66] hakua worthy it...
mpe zawadi mkuuMmoja anaolewa leo, nilimpenda ila hatukua na fate ya kua pamoja, mimi nishaoa muda. Ndoa njema x wangu
mkuusimtaki aniache nakula nyeto siku hizi
pole mkuuSanaa ctaki hata kumkumbukaa
ila ni ndoto ibaki storynimekumiss sana my ex nataman turudi ya zamani.
Kama alikufilisi lazima hasira iwepo
Yeah.... Sio poa kabisaa.....!Mmmmh!! Haya bwana ila sio poa kuombeana mabaya.
Nadhani ata yeye atakua alifurah anavyoitwa mamanawashukulu kwa kunipa watoto maana wamenifanya niitwe dear father
kata mti panda mtiAache kunisumbua,dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenye.Mti ukijiangusha unapanda mwingine.Harafu unauita "Mti Wangu" over