Recent content by Sisy_now

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake kipi huwa kinawafanya mseme hivi?

    Mazoea tu katika jamii yetu iko hivyo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

    Hahaha zuchu ana kipaji ila ajaribu ku change zaidi asikomalie ya pwani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

    Jaman tutamiss the only female icon 😄😭
  4. S

    JamiiForums Tanzania Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

    Tukiachana na ushabiki kiukweli zuchu ana sauti yees anayo ila choice of songs mi kiukweli bado hajanikuna 😎 hiyo Ni maoni yangu tu na kamabatapita kusoma hapa hii maoni yangu kiukweli zuchu usitungiwe nyimbo tena na lavalava wala mboso Mara mia tafuta mitindo ya kisasa katika beat upite kama...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wa zamani walikuwa wanavumilia Vipondo vya Waume zao ila si wa sasa?

    Kwa sababu zamani walijua ukiachika ni aibu kwako na kwa familia ila nowdays ukiachika mpaka vyombo vya Dora vina kupongeza kwa kujitambua
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bibi harusi atembea na Wanaume wawili kwa mpigo

    Guud to
  7. S

    JamiiForums Tanzania Bibi harusi atembea na Wanaume wawili kwa mpigo

    🙄🙄🙄🙄daaah!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

    To be free kuchart na kuongea na yeyote mpaka usiku wa manane au hata asubuhi
  9. S

    JamiiForums Tanzania 🏖️🏝️After Corona Bash (Beach Party)🏖️🏝️

    Ila jaman 😂😂send off
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mama Dangote kabla ya kuwa "star" alikuwa "bar maid"

    Mkwanja mrefu kwa product gan?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tanasha Donna: Sikuzaliwa kuwa mama wa nyumbani

    Kwani na yeye anaimbaga kumbe? Au ndo vle ukiolewa na kocha lazma ujue mpira ukiolewa na mganga lazma ujue madawa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Bado cjaona alie kula tunda akakutana na bleed
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Kubwa kuliko zote ni young killer kwenda kwa ney yaan hapo kiler alijionesha kuwa yeye sio mdogo hata chembe yaan ni mkubwa kimashairi na ule msemo pambana na hal yako ukaenda sambamba na hali ya magu hatare sana
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unapiga mswaki na kuoga kabla ya tendo

    Ah! Wee kale kajasho kaharufu uwa kanaleta mzuka flan zaidi yan. Labda kupiga mswaki na kutawaza tu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri mshahara wa Januari tukutane hapa

    November only december hatukufanya kaz ilikuwa mapumzko january mi nkagoma kufanya kaz nataka nilipwe kwanza sasa kaamua kuniblock kabsa
Back
Top Bottom