Mie nilienda huko kwenye blog yake, nikamwambia ukweli wala sikumsifia na matusi yake. Aliupata ukweli hadi kaamua kuniblock kwenye blog yake. Nikitumia laptop sipati blog, ila kwa simu naipata.
Huyo Mange na Linda wote machizi, wanawake gani hawa kutwa kutukanana hadi wanatusi na vizazi...
Huyo Mange naye ubongo wake haupo sawa, ana tatizo la akili. Naye ni baboon tu. Mtu mwenye akili timamu hawezi gombana na watu kila siku.
Huyo Linda kila siku anamtukana matusi hayo hayo hakuna jipya. Hawa wanawake mie naona wote vichaa kwa kugombana kwenye mtandao.
Ukiona mwanandoa anachepuka ujue hakunwi vizuri na mwenzi wake na ndoa imekuwa ndoano.
Mapadri wanatakiwa kuoa, binadamu uliyekamilika tendo la ndoa ni kati ya mahitaji muhimu ya binadamu.
Unataka kuniambia mtu mzima kama huyo miaka 49 atapiga nyeto kila siku? Lazima apate papuchi ili roho itulie.
Nipo vacation nchi ya watu marekani, nataka kununua tablet ila nina mashaka kama zitafanya kazi vizuri bongo.
Kwa wajuzi wa mambo, nahitaji kujua ninunue tablet gani ambayo nitatumia bongo vizuri?
Je kwenye tablet nako kuna locked na unlocked? Je nikichukua locked from at&t au t-mobile...
Nina ndugu yangu ana matatizo sana na ndoa yake, naomba mawasiliano yako ili tuone utamsaidiaje kiushauri.
Nilitaka kutuma PM ila naona umekuwa banned.
Jamani nafuu kuwa single mama, ulee mtoto peke yako, kuliko kuishi na baba mtoto asiyejua majukumu.
Utakuta mdada aliolewa, ameshazaa ila ndoa imemshinda sababu ya mume aliyekuwa naye ni mzigo.
Mume yupo yupo tu, hatoi penzi kwa mkewe. Kila siku sababu kibao ilimradi akwepe wajibu wake.
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.