- Thread starter
- #21
Isije ikawa natuma fedha za mtoto mama ananunulia wigimwenye kazi ili uzae akulelee looh
Isije ikawa natuma fedha za mtoto mama ananunulia wigimwenye kazi ili uzae akulelee looh
Hii kali, ila kuna mdada ana mtoto mmoja naye anataka mtoto mwingine. Kama utakubali mtoto akae na mama yake sema nikuunganishe.
hivi unasemaje
Hahahahahahahahahahahasijui....!!
mi nipo tayar ila uniambie utanilipa bei gani?
Nakushauri, pamoja na wengine walio tayari kutimiza haja yake wapate ushauri wa mwanasheria ili ikiwezekana huyo kidume awekeze project itakayo mpa uhakika mtoto mtarajiwa kipato cha kumfanya aishi maisha bora. Hatutaki machokoraa and panya road wa ziada TZ
Asizidi miaka 40 naasiwe chini ya miaka 24 awe na kazi inayoeleweka inayomuingizia kipato, gharama zote za kumtunza na kumsomesha mwanangu zitakuwa juu yangu,lla hakuna kuoana kwa aliye tayari aje inbox
Mie sio mzee ni 38 yrs old na ninao watoto wawili sihitaji mahusiano ya kudumu
mi nipo tayar ila uniambie utanilipa bei gani?[/QUOT
anakupa mtoto bila malipo wewe wadai malipo ya nini?
Ninunulie nyumba mikocheni moja nikae Mimi nyingine ya wapangaji...gari mbili za kutembelea range.na .coaster mbili za kubeba abiria..na unifungulie duka moja la vipodozi na jingine la vitu vya jumla...kama upo tayari ni Pm