Nahitaji gari ya 6 mil.

Sista Sophia

Member
Feb 6, 2010
50
0
Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600.
Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni kuanza kuendesha.


Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.
 

usengwile

Senior Member
Sep 7, 2013
131
225
Toyota starlet nichek hapa 0718600001. Serious buyer
From japan iko showroom kndon
 

andishile

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,430
1,225
na kama unahitaji gari la family size Nina ipsum ila cc 1990 la mwaka 1999 iko vizuri sana.mil 6.7 nimelitumia mwanamke so halijapiga misele mingi.
 

kuku87

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
1,221
1,500
Ndugu agizia passo yko tu ya 2005 na mpk change za rada utapata kwny hyo hela
 

usengwile

Senior Member
Sep 7, 2013
131
225
zamgu 247.jpg
kwasasa hapa sina picha nzuri, viizuri ukija kuona gari
 

Plot Agent

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
313
170
Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600.
Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni kuanza kuendesha.


Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.

Ipo starlet milioni5
Check me 0752953860
 

Attachments

 • 1400824082567.jpg
  File size
  98.4 KB
  Views
  197
 • 1400824144270.jpg
  File size
  85.7 KB
  Views
  171

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,207
2,000
Premio ya mwaka 1998...0755815174
 

Attachments

 • altAg1Tt3On-C44NyBtROUcfQBzZpAkOyCc3w2igl6ClNxu.jpg
  File size
  46.9 KB
  Views
  96
 • altAouyG3XZxwMo9boYT9Wk4yNltA8BSfNY7d56624C-qZe.jpg
  File size
  74.6 KB
  Views
  104
 • altAo-ZXgTO-AWfedZri77l3il7oh9Vd8wkF6hKrscYN-gD.jpg
  File size
  67.8 KB
  Views
  105
 • altAmBPeSwLoP7wqEaDH_MXRv-vrBmHS8-ySOF2DKuOW8K8.jpg
  File size
  56 KB
  Views
  105

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,207
2,000
Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600.
Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni kuanza kuendesha.


Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.

Kuna hiyo Nadia tunaweza kuzungumza PIA...
 

Attachments

 • 2014-05-01 17.57.29.jpg
  File size
  734.9 KB
  Views
  96
 • 2014-05-01 17.57.02.jpg
  File size
  630 KB
  Views
  91
 • 2014-05-01 18.04.04.jpg
  File size
  441.6 KB
  Views
  85

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom