Recent content by sisimizi babalao

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha kujenga HOTEL au HOSTEL pamoja na MAKAZI YA KAWAIDA hikihapa kwa bei cheee!!

    Habari zenu wana jamii,kunakiwanja kipo kimara mwisho kinauzwa million 75,kipo jirani na morogoro road ni umbali wa dakika tano(5) tu. kinaukubwa wa nusu heka yani 70 kwa 35 pia eneo hilo lina maji na umeme pia kuna vyumba viwili vipo ndani yake,huduma muhimu zipo karibu kabisa kama vile MISKITI...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Lulu (Elizabeth Michael) kuachiwa kwa dhamana

    The killer is back,haya hayaaaa.... Na anavyo penda vitambi huyuu JB kaa chonjo na VAMPARE.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kitanzania mnatuabisha wanaume weusi...

    Daah! Tushukuru mungu uyu kataka Muthungu angemtaka babayake je?,dunia isha kwisha hii BINADAM tusha kosa Utashi punde si punde tutafanana na viumbe wale wa porini.
  4. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA HAPA BANDUGU,mladi unaishiwa.

    Wana Jf habari zenu. Ninatafuta mashine ya kusagia karanga inayo tumia umeme ambayo isha tumika yani Used iwe tu katika hali nzuri pia kwa bei nafuu ili niokoe mladi ya mladi imekufa msaada jamani pls kwa aliye nayo tufanye biashara.
  5. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA HAPA BANDUGU,mladi unaishiwa.

    Nashkuru ndugu ngoja nifanye hivyo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA HAPA BANDUGU,mladi unaishiwa.

    Wana Jf habari zenu. Ninatafuta mashine ya kusagia karanga inayo tumia umeme ambayo isha tumika yani Used iwe tu katika hali nzuri pia kwa bei nafuu ili niokoe mladi ya mladi imekufa msaada jamani pls kwa aliye nayo tufanye biashara.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Fanya Kazi na ujipatie kipato cha kushangaza ukiwa nyumbani

    jamaa mbona amekuwa kimya na utapeli
  8. S

    JamiiForums Tanzania Fanya Kazi na ujipatie kipato cha kushangaza ukiwa nyumbani

    :A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fanya Kazi na ujipatie kipato cha kushangaza ukiwa nyumbani

    Mkuu naomba niulize ukisha jiunga na hiyo program kazi zipi hasa mtu unaweza zifanya? Pia jinsi gani unaweza jipatia pesa au kipato kwenye huo mtandao? Pls naomba ufafanuzi zaidi kujua.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Usindikaji wa mvinyo au (WINE)

    Hichi ndio kinacho nifanya nijivunie kuwa mtanzania kwa ukarimu mlio nionesha na msaada wenu dhahili shahili kuwa ninyi ni watanzania harisi nashkuru sana nashkuru ndugu zangu kwa muongozo wenu ngoja niyafanyie kazi mawazo yenu na ushauli.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya ubuyu yanapatikana:

    Wana jf kwa wanao itaji mafuta ya UBUYU yanapatikana kwa bei poa tu kwa LITA 1,tz shs:50,000/=NUSU LITA shs 30,000/= kwa waliopo dar es salaam popote ulipo unafikishiwa mzigo kwa anae itaji namba hiyo 0754448311. WAHI SASA.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Usindikaji wa mvinyo au (WINE)

    MSHIND:mkuu mbona hawa KIOO LIMITED kwasasa naskia wao awatengenezi chupa za mtu yeyote zaidi ya TBL tu.yani TBL wamewachukua kwa kazi zao tu.labda naomba unifungue kwa hilo pia tofauti na KIOO LTD akuna sehemu nyingine?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Usindikaji wa mvinyo au (WINE)

    Habari zenu waheshimiwa, poleni sana na majukumu kidunia na kitaifa ndugu zangu mimi ni mjasiriamali mdogo hapa tanzania niko katika harakati za kujikwamua katika maisha hivyo nimeanzisha kamladi kangu kakutengeneza mvinyo wa zabibu au (RED WINE) Hivyo naombeni msaada wa kimawazo na maelekezo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mabilioni ya Uswisi – Tusigeuzwe Mazezeta

    Tena walaji wasio shiba.
Back
Top Bottom