MSAADA HAPA BANDUGU,mladi unaishiwa.

MSAADA HAPA BANDUGU,mladi unaishiwa.

Joined
Nov 19, 2012
Posts
14
Reaction score
3
[h=2][/h] Wana Jf habari zenu. Ninatafuta mashine ya kusagia karanga inayo tumia umeme ambayo isha tumika yani Used iwe tu katika hali nzuri pia kwa bei nafuu ili niokoe mladi ya mladi imekufa msaada jamani pls kwa aliye nayo tufanye biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom