Recent content by Sis wa ukweli

  1. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

    Bakora ya kuchungia ngombe
  2. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Hawa Mbona Wanafanana?

    watu wambea jamani
  3. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kimanyema na kijita nini sababu

    Wana sifa moja tu, awana mila potofu
  4. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania MR & Mrs

    Babu lao, upo na kabinti. Unaweza msaidia Mr kulisukuma kabati? Au wewe na vibinti vidogovidogo
  5. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania MR & Mrs

    Kifo cha mende, akina darasa. Huduma za jamii zitafanyika tu. Wasiwasi wangu zile huduma za kiserekasi za kutojua kichwa kipo wapi, mgongo upo wapi.
  6. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Night Clubs for Overweight People

  7. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Night Clubs for Overweight People

    Umuhimu wako hapa JF, ni kama huu Sijui kwa nini walikutupa selo Kweli, vibonge tuwe na Club yetu Ila umeme wa Bongo sijui itakuaje, viyoyozi vikiwa avifanyi kazi. Full kupumuliana.
  8. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Kwamtoro nipo huru, week moja kama miaka kumi

    Asante Mungu, Kwamtoro nakuzimikia
  9. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Makali ya umeme, chanzo cha milipuko ya makombora Gonga la Mboto

    Makubwa, wewe Said Mwema au Mwenyekiti wa tume. Acha ubabaishaji
  10. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Mwitikio wa Wananchi juu ya Mlipuko wa Mabomu Gongo la Mboto

    Helo helo, wera wera. amumpotoshi mtu hapa kwa manufaa ya matumbo yenu
  11. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi, poleni kwa makombora

    Nilikuwa siyo member ila nilikuwa napita pita mara kwa mara.
  12. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi, poleni kwa makombora

    Asante! Nashukuru wewe kuwa wa kwanza kunikaribisha, Wengine wame ni PM.
  13. Sis wa ukweli

    JamiiForums Tanzania Mwitikio wa Wananchi juu ya Mlipuko wa Mabomu Gongo la Mboto

    Kwani Arusha kuna kombati ya chama ata moja ililegwa risasi, acheni kuwarubuni watu kwa masilai yenu binafsi. Watu wafe mtengeneze majina yenu. Aku! mimi sipo kabisa
Back
Top Bottom