MR & Mrs

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Hivi uduma za jamii katika mambo yetu yale, zinatatulika kirahisi kweli. Mimi sidhani, wewe je?

1124463_height370_width560.jpg
 
Tena wanakuwaga wepesi balaa.kwenye ile shughuli ni hadithi ingine mkuu maana ni sawa na kutoa heshma za mwisho kwa mgeni rasmi wa rigwaride.
 
Kifo cha mende, akina darasa. Huduma za jamii zitafanyika tu. Wasiwasi wangu zile huduma za kiserekasi za kutojua kichwa kipo wapi, mgongo upo wapi.
 


Hawa wanakuwaga wepesi kama ubua vile,hata kimodo utakichukia ukilikamata moja la hivi..

Ukiniambia rahisi kufika kileleni kwa mlima kilimanjoro, sawa. Hot, hot, na hali ikiwa kama ya mufindi, tano zinaendeka bila mashaka
.
 
Hapo kitanda ni lazima kiwe cha chuma futi nae kwa nane,kila baada ya miezi miwili wanabadilisha godoro maana linakuwa halina kazi baada ya kubonyea na kutokidhi viwango.
Kwenye mambo yetu wanafaidi kama kawaida ingawa kuna angle watakuwa wanazikosa kutokana na ukubwa wa mwili hivyo kuwa na style moja tu ya kifo cha mende.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom