Recent content by sirng'udi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tukio la mlipuko lina mambo mengi ndani yake

    Poleni sana makamanda na mungu atie nguvu hasa katika kipindi hiki kilichogubikwa na wingu zito la majonzi bt ukombozi uko karibu viva chadema viva a-town
  2. S

    JamiiForums Tanzania kupitia mtandaoni dada mmoja tajiri wa kinaigeria anataka tufunge ndoa....

    :nono: tapeli huyo usikubali utaibiwa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    :rockon:
  4. S

    JamiiForums Tanzania natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

    nipo mimi just contact me through msangudi@yahoo.com
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

    dalili ya mvua ni mawingu na dalili ya ukombozi ni misukosuko kama inayomkuta raisi anayeongoza nchi akiwa nje ya ikulu. Dr nakukubali sana keep it up usikate tamaa kwani ukombozi uko mlangoni unabisha hodi tutaendele kukusupport mpaka kielewe na by the time ukiwa magogoni ndo malengo ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosoma au waliowahi kusoma udsm tu.

    njoo chuo mambo yote utafahamishwa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lema ndani ya Arumeru

    hilo ndo jembe watafanya visa sana lakini arumeru lazima irudi chadema viva lema viva pipoz power!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Pamoja na siasa chafu na rushwa tutashinda Arumeru Mashariki Lema (mb)

    ndo maana huwa nasema chama pekee teule toka mwenyenzi ni CDM kwani kipo kwa ajiri ya kuwakomboa watz ktk janga la umaskini, ujinga na n.k kwa tamko hili la kamanda LEMA nimeamini chadema ni bahari ya majembe yaliyo na makali yakuweza kumkata fisadi yeyote yule akijitokeza na leo hii tayari...
  9. S

    JamiiForums Tanzania It was either akubaliane na CHADEMA, apiganie Uenyekiti, akutane na VOTE OF NO CONFIDENCE

    kaka nimekukubali what u have written is true, but what i advise CHADEMA they should continue with their move cz they used dialogue as a peaceful mean and mr. president accepted their request unfortunately he betrayed CHADEMA so no way CHADEMA go on use peoplez power we behind u. Altercontinua
  10. S

    JamiiForums Tanzania JK na miaka 50 ya UDSM: Nipo hivi nilivyo sababu ya UDSM

    mi shahidi niliyoyashuhudia ni aibu kwa jk cz kazomewa na umati uliovumiilia jua tulitajia angepata mapokezi mazuri kwa umati uliojitokeza kumbe wanamusubiri wampe vidonge vyake ama kweli siku ya leo jk hataisahau maishani mwake hiyo ndo udsm baana
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

    mi ndo nimaliza kuangalia tarifa ya 20:00 mi c mnafiki bali i will speek da truth CDM are da winner tena watapata ushindi wa kishindo almost 64% na ccm watapata 24% na cuf watapata 8% the rest watagawana zilizobaki
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hili la Igunga ni doa...!

    aliyekutuma pamoja na wewe mumengia sehemu ambayo haiwahusu temu hii hatudanganyiki mutaandaa propaganda ambazo zitakula kwenu chama cha mafisadi (ccm) ushindi lazima uende CHADEMA mwenye wivu ajinyonge kama alivyosema ZOMBE kuwa atajinyonga
  13. S

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kumng'oa mbunge bandia wa SHY MJINI yaja

    ukombozi uko karibuni waingereza wanasema true independence is soon coming cz hawa mafisadi wameshaanza kutimuanatimua wamenza na mzee wa mipango ..15 si mbali watz tutakuwa huru na huu ukoloni Mambo leo wa magamba peoplez power is around the corners waiting 4 the initiator!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ezekia Wenje. Peace does not mean absence of war but justice

    big waziri kivuri wa Mambo ya ndani ama kweli sijafanya maamuzi mabaya kujiunga na pipoz power Kwani mnipa burudani endeleni kuibana hivyo hivyo serikali ya mafisadi a.k.a. C.C.M Kwani ukombozi uko karibu na nawashauri wajiunge na chama makini chenye uchungu na taifa letu nacho ni CHADEMA big...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Viti maalum- CHADEMA

    Acha uongo wewe je binti wa mashishanga ni viti maalumu kutoka mukoa upi Acha unafiki kama umetumwa imekula kwako hatudanganyiki eboo!
Back
Top Bottom