Recent content by sirikambi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

    Anakua Yanga wameishikilia TFF hivo hawezi adhibiwa vikali ila angekuwa Sunday Manara au Idd Maganga wangeshanyoka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea alipaswa kuungwa mkono hata na Rais Magufuli

    Are u sure????
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Mie nitasema hivo mwaka2019
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwanansheria Mkuu Jiuzulu, Umeshindwa Kumshauri Rais

    Jamani,mbona kikwete miaka yote kumi amefanya hivo,aliwateua akina Omar Nundu,prof Makame Mbalawa,Zakhia meghji,Saada mkuya,dr Asharose migiro,dr Mponda na wengine wengi.je,wote hao uliona wakiapa bungeni?si waliapishwa kuwa mawaziri hawajaapa bungeni,mbona hamkuhoji?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Comrade Kinana ndani ya serikali ya Ndugu Magufuli

    Kinana ni bora zaidi kuliko mwanaccm yeyote ukimtoa mhe.Rais
  6. S

    JamiiForums Tanzania TCRA: Dstv na local channels za bure Tanzania

    Kuna watu hapa kazini kwangu walikuwa wanatembeza products za ujerumani ambazo mojawapo ilikuwepo flat screen aina ya VLC ambayo wanasema ukinunua kwa Tsh.750000 inchi32 wanakuunganisha kwa kusearch channel nyingi sana isipokuwa super sport tu ndo hutapata!!!!! Na wakishatafuta hulipii malipo ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania TCRA: Dstv na local channels za bure Tanzania

    Wakuu, Hawa DSTV wanaanza kuonyesha zile tv zetu za ndani bure lini? TCRA tunaomba mtupe taarifa kamili lini wataonyesha bure?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kidogo swali DS hapa

    Swali jepesi sana,anataka uelezee vipindi ambavyo development ilikuwa inapewa majina tofautitofauti eg DEVELOPMENT AS A PROCESS,PROGRESS,......sasa uelezee kivip na kulikuwa na indicators zipi katika vipindi hivyo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Am sure hawa hapa watakuwa wamenuna, na hawa hapa watakuwa wanafurahia

    Waache walau wajifariji
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lameck Airo: Nguvu ya soda ya Rais Magufuli ni ya muda mfupi

    Hata Deautch welle mchana leo wametangaza
  11. S

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya tsh. 5bn kodi ya makontena 329, wafanyakazi 37 wasimamishwa kazi mchana huu

    Kwshiyo wsnaofanya kazi TRA waanze kuzomewa kila wanapopita ili kuwaathiri kisaikolojia wajijue wao wezi au?Mie nadhani kila ofisi ya TRA wawaajiri wanajeshi na Usalama wa taifa ili kufanya mapato yawe salama zaidi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Akili zingine za kuazimwa,katumwa aseme na kule anakounga mkono au ana ndugu kaguswa jana kule?
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Yeye alipiga,wewe unapiga shida iko wap brother?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za utumishi kizungumkuti!

    Hata mwaka jana UDOM walikuja na kuna vijana walibahatika kuchukuliwa ila taifa hili kubwa sab hata sijui walipelekwa wapi.
  15. S

    JamiiForums Tanzania "Magufulify" theory mpya duniani ikiwa na maana "render or declare action faster and cheaper"

    Sasa nadiriki kutamka I LOVE MY PRESIDENT.
Back
Top Bottom