George Smiley
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 471
- 267
Ukweli usiopingika kuwa kama si Comrade Kinana kuzunguka nchi nzima kwa miaka 3 hali ya CCM ingekuwa mbaya zaidi. Wanasema sifa kubwa ya Comrade akiweza ku re- connect wananchi vijijini na Chama ambacho viongozi wame waliweka mbele maslahi yao na ku penda kutwa MHESHIMIWA badala ya NDUGU.
Lakini cha ajabu ni kuwa Ndugu Magufuli ameona Nape Mnauye anafanya zaidi na ni cabinet material kuliko Comrade Kinana.
Au kuna ugomvi kati ya hawa ndugu wawili?