TCRA: Dstv na local channels za bure Tanzania

Kuna watu hapa kazini kwangu walikuwa wanatembeza products za ujerumani ambazo mojawapo ilikuwepo flat screen aina ya VLC ambayo wanasema ukinunua kwa Tsh.750000 inchi32 wanakuunganisha kwa kusearch channel nyingi sana isipokuwa super sport tu ndo hutapata!!!!! Na wakishatafuta hulipii malipo ya matangazo tena.KWELI HAYA YAPO??!!!
 
Hapa ndio nilimdharahu J.Makamba..kashindwa ili Dogo Tu local chanel katika ving'amuzi
 
Kuna watu hapa kazini kwangu walikuwa wanatembeza products za ujerumani ambazo mojawapo ilikuwepo flat screen aina ya VLC ambayo wanasema ukinunua kwa Tsh.750000 inchi32 wanakuunganisha kwa kusearch channel nyingi sana isipokuwa super sport tu ndo hutapata!!!!! Na wakishatafuta hulipii malipo ya matangazo tena.KWELI HAYA YAPO??!!!

Hiyo kawaida. Hizo ni FTA channels
 
Vitu vizuri vinagharama mi huwa naishia kutamani tu
 
dstv wako hapa mainly soko lao sio wabongo ni foreigners ndo mana wanaweka channel kali kali na za ulaya na usa ndo mana wao hawajali kabisa uwezo wa fedha wa maskin wa apa, vingamuz vya maskin ni ivo vingine kaangalien mi chanel ya ajaibu ajabu
asante mkuu, umemaliza kila kitu!
 
Azam chanel za bongo bure uspokuwa tv1 na azam chanels
 
Bure, yangu sijalipia toka mwezi uliopita na bado naangalia local channels zote.

Azam sio bure, wewe una miezi miwili tangu ununue subiri miezi mitatu halafu rudi hapa utuambie
 
Sio lazima ulipie premium package ya DStv, acheni kulalamika. Kama huwezi nguo za Woolworth nenda Kariakoo au soko la kibasila. Kama huwezi DStv nenda Startimes au nunua dish ft 6 uangalie FTA bila gharama ya ziada.

DStv wana package ya Bomba tsh. 22,500/- kwa mwezi. Lipia hiyo kama una hamu sana na DStv.

Ukiwa mteja wa muda mrefu wa DStv huwa wanaacha chaneli za local bure. Kama wewe ni mteja mpya au hulipii mara kwa mara basi hupati hiyo offer
 
Duh watz mnatisha,watu hapa wanaongelea shs750000 kununua t.v. ni kama si kitu vile.Pesa za tz hizo,maajabu.Hapa Kenya watu wananua 'set-top box' za gotv kshs 1900 afu hakuna kulipa tena.T.v zote za Kenya bure pamoja na zingine za kigeni.
 
Itakuwa mdogo wa Masamaki wewe. Si bure
 
Duh watz mnatisha,watu hapa wanaongelea shs750000 kununua t.v. ni kama si kitu vile.Pesa za tz hizo,maajabu.Hapa Kenya watu wananua 'set-top box' za gotv kshs 1900 afu hakuna kulipa tena.T.v zote za Kenya bure pamoja na zingine za kigeni.

Kuna kipindi cha transformation ya kutoka analogy kwenda digital huo mpango Wa kuleta Go Tv hata bongo ulikuwa unanukia maana kama DSTV waliugwaya mkwara Wa serikali,lakini ikaja kuwa kama kuna MTU kawanyetishia kuwa huo mkwara mbuzi,habari ya Go Tv ikapotea,wakatuwekea TBC,ikaja channel ten,Star TV na ITv lakini mzigo ukikata Star TV na ITv zinasepa unabaki na TBC na Channel ten na michannel ya kichina.
Tunachotaka walau kwanza wapunguze package zao gharama maana walijidai kuhamishia premier league kwenye premium bouquet mwezi huu December wameirudisha EPL kwenye compact plus maana mrejesho Wa premium watu kibao tulisusia,juzi nikaamua nilipie kifurushi cha Bomba 23500 wakanipigia simu eti tunapenda kujua kwanini umeahamia kifurushi cha chini nikawajibu gharama imekuwa kubwa bora nihamishie kuongeza Kodi ya pango.
Cha msingi tuombe EPL yawin makampuni hata mawili gharama zitajirekebisha kama enzi za GTV vinginevyo tusiwasupport kwa kulipia watajirekebisha.
 
Mkuu kwako ikikata TBC n Ch10 inaonekana? Lazima wewe utakuwa una shares multichoice
 
Geechie ,si gotv ni ya multichoice?Hapa Kenya naona kama gotv ni ya hali ya juu kwenye 'quality' na pia bei yao nafuu.Walikuwa wanauza 'set up box' zao 1900ksh afu hulipii tena kama unataka kutizama tu 'free to air',yaani t.v za Kenya tu,channel zote kama 36 ivi.Au unalipia 500ksh kwa kila miezi sita ukitaka kuongezewa channel za movie ivi kadhaa,aljazeera,CNN na zingine kama hizo zinakuwa channel 66 zote.Au unalipia 800ksh kila miezi sita unapata hadi supersport 2 na supersport select zinaongezeka zote hadi zinakuwa channel 90.Dstv ni hasara tupu huku,kumbuka serikali ililazimisha kampuni hizi zote za digital zijadiliane na t.v za Kenya yaani ilikuwa lazima t.v zote zile walizoona watu kwa analogue ambazo ni za Kenya wapewe bure bila malipo ya kila mwezi.
 
Back
Top Bottom