Wamarekani watawashangaa na kuwadharau.maandamano mnayafanyia ughaibuni mnajiona wanaume.njooni bongo kama mko wazalendo kweli.mnatuhamasisha kumwaga damu kukataa hali ngumu ya maisha wakati huko mliko nako ni vilevile.anzen jumpinga obama ndo mje kwa kikwete.
Hivi nikirudi kwa wananchi huko mitaani niwaambie nini hasa?.Mbona siwaelewi?.Huu udikiteta unaofanywa na viongozi wetu wa CHADEMA kumbe baadhi ya wanachama wameambukizwa ugonjwa huu.Ni mtu mmoja tu aliyethubutu kujikita kwenye mada, wengine wamefungwa minyororo ya kiitikadi.Yaani wao ni kutetea...
Wanajamvi nimesubiri watu wa kujikita kwenye MADA amejitokeza mmoja tu.Wengi wao ni kuponda sasa nikirudi mtaani wananchi niwaambie nini zaidi ya kukitosa kabisa chama chao CHADEMA?.Udikiteta wanaozungumzia wananchi ndio naona umewatawala wapenzi wengi wa chama hiki ambacho namimi nilikuwa...
Wanajamvi ni vyema tukajikita kwenye hoja za wananchi na tusipambane na mtoa mada.Mimi nimewasilisha malalamiko ya wananchi ambao nimekuwanikisikia wakiyatoa dhidi ya CHADEMA.Nimekuwa nikiwasikia mitaani na kuyachukua nikayamwaga hapa jukwaani jinsi yalivyo.Tusipuuze hoja zao kama tunakitakia...
Huku mitaani wananchi wameduwazwa na udikiteta unaoendelezwa na uongozi wa juu ndani ya chama hicho.Wamekuwa wakijiuliza iweje kila jambo viongozi watake kulitolea uamuzi?.Wananchi hapa mtaani wamekasirishwa na kitendo cha katibu wa CHADEMA kuonyesha usaliti wa demokrasia kwani amekuwa akihubiri...
Nape anafaa kupongezwa.Ni kijana ambaye anaonesha ukomavu wa kisiasa na ameweza kwa kiasi kikubwa sana kurudisha matumaini ya watanzania waliowengi kwa CCM.Haendeshwi kwa itikadi bali anawatetea watanzania wote masikini wa nchi hii.Viva Nape.
Nape anafaa kupongezwa.Ni kijana ambaye anaonesha ukomavu wa kisiasa na ameweza kwa kiasi kikubwa sana kurudisha matumaini ya watanzania waliowengi kwa CCM.Haendeshwi kwa itikadi bali anawatetea watanzania wote masikini wa nchi hii.Viva Nape.
Mtoa mada amekaa kiushabiki sana na anatuletea mada ambazo hazina utafiti wowote ule.Msituletee majungu hapa jamvini.Nape ni kijana shupavu ambaye anastahili kupongezwa na wasio wanafiki.
Nape anastahili kuigwa na vijana wengine wa kitanzania kwa kuamini katika ukweli na anausimamia kwa...
Nani aliyejua mwaka 1995 angeibuka mkapa na kuwa rais wa nchi hii?.ninahakika wapo wengi tu watakaoibuka wakati ukifika na kuwa rais.muda bado mwingi sana ndugu zangu.miaka 4 iliobaki sio haba yaweza mimi siraji nikaibuka na kuwa kipenzi cha watanzania ghafla na kupewa urais.la msingi tujadili...
suala la vitambulisho vya uraia ni muhimu kuliko tunavyolifikiria au kulifahamau.naona serikali inachelewa sana katika hili.tunaomba iwahi sana ili mwaka ujao wa fedha tujitegemee ktk bajeti yetu na tusahau kuwategemea wadadhili.chondechonde serikali wahi kutupa vitambulisho hivyo tuokoe nchi...
jakaya kikwete lazima aende na wakati na ndivyo anavyofanya.mwanahalisi hawamtakii mema kwani jk kuwasiliana mara kwa mara na wapiga kura wake ni dhambi?.acheni unafiki
ninanvyofahamu na imekuwa ikirudiwarudiwa na katibu mukama na kamanda mwenyewe nape.watu wale walipewa siku 120 na sio 90 na kama wakishindwa kuwajibika wao wenyewe halmashauri kuu ya ccm itawawajibisha.na nape mwenyewe amekuwa akikanusha juu ya siku 90.hivyo tusubiri muda bado.
chadema ni chama ambacho kinaamini juu ya uhuru wa maoni na kimekuwa kikiupigania.ninashangaa mh. Shibuda kuandamwa na chama chake juu ya maoni yake alioyatoa bungeni.hii inaleta shaka juu ya umakini wa chama hiki na inaonesha kuwa chadema kinaigiza juu ya kujivika gamba la uetezi wa haki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.