m
mtafiti, chukulia mnatoka kwene mihangaiko ndani mnaingia sa moja, akolezea mkaa hadi ukolee, apike, mle si sa tatu tayri hyo?! mmekula unatarajia muende kulala mwenzio anasema anaangalia sultani, mbali na hvo, mnapoenda kulala na mwenzio kwa pamoja kuna raha yake sio anakuja ushalala...