Recent content by sir ronga

  1. S

    M-Pesa sio salama

    Pole sana mkuu. Nakushauri usambaze ujumbe facebook na namba yake ikiwa na caption. Huko watu wanajuana zaidi kuliko hapa JF na nakuhakikishia atajutia sana. Nimewahi kuona kesi nyingi za namna hiyo na hiyo njia ilitatua kwa ufanisi. Voda hawatakupa msaada zaidi ya kuweka deni kwenye namba yake...
  2. S

    Msaada wa kisheria kuhusu madai

    Kama madai yenyewe ni ya pesa ndefu ni bora uweke mwanasheria. Ila kama madai yenyewe labda ni milioni moja halafu mwanasheria atake laki3 au 5 hiyo ni hasara mkuu. Tafuta namna ya kudai pasipo kuongeza gharama
  3. S

    Duniani tunaishi muda mfupi sana

    Na mpaka sasa dunia inakadiriwa kuwa na miaka 4.5 billion
  4. S

    Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

    Ee mwenyezi Mungu unapookoa wengine na majanga kama haya, usinisahau mimi, familia yangu na nduguzangu
  5. S

    Kwa wakazi wa Kigamboni: Hizi ferry MV Magogoni na MV Kigamboni kwa ujazo huu, kuna siku itakuwa tena historia!

    Hivi haiwezekani hivi vivuko vikawa na maboya idadi swa au zaidi ya abiria inayopaswa kubeba na kila abiria akawa karibu na boya? Nawaza tuu
  6. S

    Miili ambayo haijatambuliwa kutoka kwenye ajali ya Mv. Nyerere kuzikwa leo huko Bwisya-Ukara

    Sasahivi naanza kuelewa ni kwanini watu hupotea bila kujulikana walienda wapi. Kuna ndugu zetu au watu tunawafahamu ambao katika maisha huweza kupotea na kutopatikana milele. Kumbe ndo kama hivyo. Unawezakuta mtu ni wa dodoma na alienda huko kutafuta maisha,safari au kumtembelea mtu bila kuaga...
  7. S

    Daraja la Mto Wami kulikoni Serikali inalifumbia macho? Tunasubiri vifo ndio tukurupuke?

    Hilo daraja watumiaji wakubwa ni wachaga. Hivyo wawe na subira kwanza. Tukishamaliza kwa wasukuma, tutaenda sehemu nyingine na mwisho tutamaliImzia huko.
  8. S

    Kwa waliowahi kula mabeki tatu tukutane hapa!

    Hii mada naielewa sana, ila sinta comment chochote
  9. S

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Mama wa guest nyingi ni mama Devotion
  10. S

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Mariki wa pale maeneo ya kombo au?
  11. S

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Nilisoma O-level na kijana wa Vicent Lasway. Dogo alikuwa na tambo sana na alituchukulia mademu zetu sana kisa pesa za babayake. Ila tulimvizia weekend usiku kitaa tukampa kichapo cha mbwa koko wakiwa na wenzake wametoka mjini kuelekea camp (Umbwe sec)
  12. S

    Je, ni sahihi kwa majaji kuvaa mawigi ya kikoloni katika zama hizi?

    Kwani tafsiri yako tunaposema wakoloni ni wale waliotutawala tuu? i.e Waingereza na Wajerumani na Waarabu? Kwakukuongezea nikwamba kabla ya hao wakoloni tulikuwa hatujui PESA, NGUO, (tulivaa ngozi na magome ya miti), KUSOMA NA KUANDIKA etc. Yapo mengi ambayo ni matokeo ya hao wakaloni. Sasa kila...
Back
Top Bottom