Recent content by sir life the champion

  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM wana haki ya kuchukia

    kweli kila mtu atatoa ya moyoni kwa wakati wake, kumbe tunaoumia hii inchi ni wengi ila muda wa kusema ndo tunapishana tu, kweli watu wamejawa na ujasiri sasa hawaogopi kusema yanayowasibu mioyoni mwao
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM wana haki ya kuchukia

    kweli kila mtu atatoa ya moyoni kwa wakati wake, kumbe tunaoumia hii inchi ni wengi ila muda wa kusema ndo tunapishana tu, kweli watu wamejawa na ujasiri sasa hawaogopi kusema yanayowasibu mioyoni mwao
  3. S

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Jerusalem, Judea and Samaria will never again be taken from us!

    yangu masikio tu, ngoja nipite nitarudi badae
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali ya chama cha mapinduzi ifute mfumo wa vyama vingi

    duh kasema ukweli aiseee
  5. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

    usitoe matokeo tu ya maamuzi yaliyochukuliwa, hebu jaribu kutupa habari nzima iliyoandikwa na mwanahalisi mpaka likafungiwa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dalali asifu uongozi wa Rais wa muda Simba

    tuko nyuma yenu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tumuombee Mhe. Lissu au Rais Magufuli

    kwan kwa sasa wewe ni mzima? mbona muda mrefu wewe ni punguani kinda
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kisa cha MwanaHALISI kufungiwa ni Habari ya "Nani anastahili kuombewa kati ya Lissu au Magufuli"

    siku zote kubwa jinga ndo huwaza kama wewe
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kisa cha MwanaHALISI kufungiwa ni Habari ya "Nani anastahili kuombewa kati ya Lissu au Magufuli"

    nawe ni mmoja wa wale wanaounga mkono haya ya serikali siyo? kweli tanzania tunayo kazi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuzuia maombi ya kiroho juu ya afya ya Tundu Lissu ni kujitafutia laana

    siku zote mpumbavu huangalia jambo lililo na furusa kwake ila yenye furusa kwa wengine kwake ni takataka, nawe ni mmoja ya wapumbavu tena katika kiwango cha lami hiv kipind rais anaomba kuombewa hakujua kama na sisi tuna ndugu na jamaa ambao walikuwa maospitalini mbona mulikusanyika viwanjani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu: Waliomshambulia Tundu Lissu, walitumia gari la Nissan Patrol T 932 AKN

    mungu yupo nae anaona, atatenda kadiri ya mapenzi yake
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda huwa hivi

    umeongea ukweli kabisa aseee.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ametangazwa shujaa huko Lagos nchini Nigeria magharibi mwa bara la Afrika

    kaka kabla hujamkosoa mwenzako nawe jitafakari kwanza, kwani wewe ulichoandika ni cha maana kwa watanzania kuliko alicholeta mtoa mada, mambo mengine ni ufirisi wa mawazo na kushikiliwa kwa ufahamu na mapenzi ya vyama kaka
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lazaro Nyalandu Amjulia Hali Tundu Lissu Jijini Nairobi

    kaka ni vyma ukahifadhi akiba ya maneno katika mambo ambayo yamejeruhi mioyo ya watu, unaandika ukijua kuwa utaonekana nawe umehoji jambo la maana kwa walio upande wako wa lumumba, nani kakwambia kuwa walioko huko nao wanatumia pesa za msaada, kwani hata huyo nyarandu nae kwa sababu kafika huko...
Back
Top Bottom