Askofu Kakobe na 'mshenzi sana' wa Nyerere.

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
1,321
Reaction score
605
Kama ni kweli askofu Kakobe alisema ana hela zaidi ya serikali na akamaanisha hivyo, basi anaweza kufananishwa na yule aliyesema serikali yote ya rais Nyerere ilikuwa mfukoni mwake. Nyerere akasema huyo ni mshenzi sana muwekeni ndani. Baada ya kuombewa msamaha na watu maarufu nchini na duniani, ndipo rais akaamua kumwachia na kumfukuza nchini.
Je? Historia inaweza ikajirudia na askofu Kakobe akapitishwa katika njia hizi?
 
Mleta mada acha kumuumbia askofu kakobe maneno yako...

yeye alisema haongeki maana anapesa nyingi kuliko za serikali na hao mawaziri wakitaka waende kwake wakakope...

NI KWELI KAKOBE ANA PESA KULIKO SERIKALI...MAANA PESA ZA KAKOBE MTUMISHI WA MUNGU ZINATOKA KWA BABA YAKE ALIYE JUU MBINGUNI...

kama hawaamini basi walisome neno na WATUBU wataelewa itajiri mkubwa ilioko kwa baba juu.

Yule giriki wa nyerere alisema AMEIWEKA SERIKALI YA NYEREREMFUKONI MWAKE....kakobe kasema RAIS atubu aache dhambi....
 
Alipaswa Kuonya Kwa Hekima Sana Si Kama Alivoongea Warum 14:1-2
 
'... Nikatiwa Msukosuko nikisema simwachiii, Baba Askof Makarious akanitunia salamu nikisema Mshenzi Huyu Hana adabu simwachii baadae wenzangu wa EA wakaniomba nimwachie ni kasema namwachia kwa Masharti nisimuone kabisa East Africa nzima sio Tanzania...' - Julius Kambarage.
 
Kakobe hajasema ameiweka serikali kwenye mikono yake,kasema ana hela kuliko serikali na serikali siyo lazima iwe serikali kuu,yaweza kuwa serikali ya mtaa ni kwake.
 
Kama ni kweli askofu Kakobe alisema ana hela zaidi ya serikali na akamaanisha hivyo, basi anaweza kufananishwa na yule aliyesema serikali yote ya rais Nyerere ilikuwa mfukoni mwake. Nyerere akasema huyo ni mshenzi sana muwekeni ndani. Baada ya kuombewa msamaha na watu maarufu nchini na duniani, ndipo rais akaamua kumwachia na kumfukuza nchini.
Je? Historia inaweza ikajirudia na askofu Kakobe akapitishwa katika njia hizi?
Katubu kwanza
 
Mleta mada acha kumuumbia askofu kakobe maneno yako...

yeye alisema haongeki maana anapesa nyingi kuliko za serikali na hao mawaziri wakitaka waende kwake wakakope...

NI KWELI KAKOBE ANA PESA KULIKO SERIKALI...MAANA PESA ZA KAKOBE MTUMISHI WA MUNGU ZINATOKA KWA BABA YAKE ALIYE JUU MBINGUNI...

kama hawaamini basi walisome neno na WATUBU wataelewa itajiri mkubwa ilioko kwa baba juu.

Yule giriki wa nyerere alisema AMEIWEKA SERIKALI YA NYEREREMFUKONI MWAKE....kakobe kasema RAIS atubu aache dhambi....
Na wewe unamuumbia maneno, tafsiri ya kuwa yeyey anafedha nyingi kuliko za serikali na hivyo mawaziri wakitaka waende wakakope kwake inamaanisha nini? Tafrisi ni kuwa fedha yake ni nyingi kuliko za serikali na hivyo anaweza kugharamia bajeti za wizara, mawaziri ruksa kwenda kukopa kwake. Kwa kauli hizo kuchunguzwa ni lazima tu hana namna ili tujue mbivu na mbichi
 
Hivi kuna mahali alitaja kama alimaanisha serikali ipi maana pengine alimaanisha serikali ya mtaa na si serikali kuu. Na pia hakutaja kama hiyo serikali ni ya Tanzania, Burundi, Kenya n.k.
 
Kama ni kweli askofu Kakobe alisema ana hela zaidi ya serikali na akamaanisha hivyo, basi anaweza kufananishwa na yule aliyesema serikali yote ya rais Nyerere ilikuwa mfukoni mwake. Nyerere akasema huyo ni mshenzi sana muwekeni ndani. Baada ya kuombewa msamaha na watu maarufu nchini na duniani, ndipo rais akaamua kumwachia na kumfukuza nchini.
Je? Historia inaweza ikajirudia na askofu Kakobe akapitishwa katika njia hizi?
Kumbuka hakusema kuliko serikali ipi yawezekana ya kijiji.
 
Kama ni kweli askofu Kakobe alisema ana hela zaidi ya serikali na akamaanisha hivyo, basi anaweza kufananishwa na yule aliyesema serikali yote ya rais Nyerere ilikuwa mfukoni mwake. Nyerere akasema huyo ni mshenzi sana muwekeni ndani. Baada ya kuombewa msamaha na watu maarufu nchini na duniani, ndipo rais akaamua kumwachia na kumfukuza nchini.
Je? Historia inaweza ikajirudia na askofu Kakobe akapitishwa katika njia hizi?
ni mhenga gani huyo alotoa maneno hayo mbele ya nyerere
 
Halafu Nyerere akawa Baba wa taifa pamoja na yote hayo.
 
Mleta mada acha kumuumbia askofu kakobe maneno yako...

yeye alisema haongeki maana anapesa nyingi kuliko za serikali na hao mawaziri wakitaka waende kwake wakakope...

NI KWELI KAKOBE ANA PESA KULIKO SERIKALI...MAANA PESA ZA KAKOBE MTUMISHI WA MUNGU ZINATOKA KWA BABA YAKE ALIYE JUU MBINGUNI...

kama hawaamini basi walisome neno na WATUBU wataelewa itajiri mkubwa ilioko kwa baba juu.

Yule giriki wa nyerere alisema AMEIWEKA SERIKALI YA NYEREREMFUKONI MWAKE....kakobe kasema RAIS atubu aache dhambi....
Kwahyo siku hizi kunanyesha mvua ya pesa
 
Kama ni kweli askofu Kakobe alisema ana hela zaidi ya serikali na akamaanisha hivyo, basi anaweza kufananishwa na yule aliyesema serikali yote ya rais Nyerere ilikuwa mfukoni mwake. Nyerere akasema huyo ni mshenzi sana muwekeni ndani. Baada ya kuombewa msamaha na watu maarufu nchini na duniani, ndipo rais akaamua kumwachia na kumfukuza nchini.
Je? Historia inaweza ikajirudia na askofu Kakobe akapitishwa katika njia hizi?
TRA wanakazi kakobe amedai Leo anahela zaidi ya serikali ya Marekani na Uingereza acha serikali ya Tanzania Mimi binafsi naomba serikali iachane nae muono wa kakobe ni ki biblia zaidi na serikali ni kisheria sijui hao mahakimu watatumia kitabu gani kumhukumu. Hakimu akisoma shitaka kakobe atakiri ndiyo Nina hela mh. Hakimu fungua Hagai2:8 hizo ndo pesa nilizo Nazo kwa sababu Mimi ni mtumishi wa Mungu je hakimu atapinga kwa kitabu gani?
 
Back
Top Bottom