Kisa cha MwanaHALISI kufungiwa ni Habari ya "Nani anastahili kuombewa kati ya Lissu au Magufuli"

Huwezi shindana na SERIKALI yoyote duniani ukafanikiwa,mbaya zaidi serikali ya Tanzania,kilichomponza Lissu ni kutafuta sifa na kuwafurahisha baadhi ya watu,ndo hicho hicho kilichowaponza MWANAHALISI tofauti ni kuwa mwanahalisi wali target pia mauzo makubwa,mwisho wa siku nani anaumia???
Mmeamua kufunguka,na bado,hadi mjitaje kwa majina hadharani
 
Hapo ndo mnapoanzia kujidanganya,mnadhani wananchi wengi wapo nyuma ya CHADEMA na Kubenea,juzi jumapili kuna watu waliprint t-shirt kibao za PRAY 4LISSU,wakidhani wangeuza hata 100,waliishia kuuza tshirt 3 au 4 tu.Wafuasi na uma mnaousemea umebaki JF tu.Mtaani watu wapo bize na kupambana na hali zao,kujipatia kipato.
Shida yahawa watu sijui hata Waelezwe vipi

Nani anamwazo ya lissu!
Ashindwe kujiombea yeye akamuombee mtu asie na faida yeyote kwake!
 
Huwezi shindana na SERIKALI yoyote duniani ukafanikiwa,mbaya zaidi serikali ya Tanzania,kilichomponza Lissu ni kutafuta sifa na kuwafurahisha baadhi ya watu,ndo hicho hicho kilichowaponza MWANAHALISI tofauti ni kuwa mwanahalisi wali target pia mauzo makubwa,mwisho wa siku nani anaumia???
Toka ndani ya box ndugu uje uone na wengine wanaishije usiishie kolomije tu
 
Unapomwambia baba yako hapa tusifanye hivi,tufanye vile ni kushindana naye? Kuna serikali yoyote ile duniani isiyoambiwa/isiyokosolewa inapokosea? Hii nchi ni yetu,Watanzania. Serikali ni yetu na ni sisi.
Na unapoanza kumwambia huyo huyo baba yako,ukiwatangazia ndugu zako kuwa Tuna baba wa Hovyo hovyo,na uongozi wa hovyo wa familia.Unategemea nini?,ndo nidhamu.Na unapoomba mbele za media familia yenu itengwe na marafiki zenu,msipewe msaada wowote ndo kumkosoa baba yako?,, mtakataa siku zote,ila yule chizi wenu alizidiwa na kitu kinaitwa MUCH KNOW,ndo maana pamoja na kufatiliwa na gari muda mrefu,akijifanya MUCH KNOW hakuona umuhimu wa kwenda polisi kuripoti kwa dharau,matokeo yake anapumulia mipira.Na anaweza kuwa kitandani hata mwaka mzima.
 
Huwezi shindana na SERIKALI yoyote duniani ukafanikiwa,mbaya zaidi serikali ya Tanzania,kilichomponza Lissu ni kutafuta sifa na kuwafurahisha baadhi ya watu,ndo hicho hicho kilichowaponza MWANAHALISI tofauti ni kuwa mwanahalisi wali target pia mauzo makubwa,mwisho wa siku nani anaumia???
Kabisa ndugu
sifa sokuzote ziliponza kichwa
naimani Akirudi akili zitakuwa zimemuingia
 
Na unapoanza kumwambia huyo huyo baba yako,ukiwatangazia ndugu zako kuwa Tuna baba wa Hovyo hovyo,na uongozi wa hovyo wa familia.Unategemea nini?,ndo nidhamu.Na unapoomba mbele za media familia yenu itengwe na marafiki zenu,msipewe msaada wowote ndo kumkosoa baba yako?,, mtakataa siku zote,ila yule chizi wenu alizidiwa na kitu kinaitwa MUCH KNOW,ndo maana pamoja na kufatiliwa na gari muda mrefu,akijifanya MUCH KNOW hakuona umuhimu wa kwenda polisi kuripoti kwa dharau,matokeo yake anapumulia mipira.Na anaweza kuwa kitandani hata mwaka mzima.

Kumuelewesha na kumtoa ndani ya Box Kibendera bora uelimishe Jiwe
hawa watu ni hovyo kabisa.
Hizo t-shirt zao zimeishia wapi!
Watanzania sio wajinga kiivyo
wapo busy na maisha yao sio kutwa kutumiwa na wapuuzi
 
basi shindana na mungu
Ambacho CDM hamuelewi ni kuwa sote tunamuomba Mungu mmoja tu huyo huyo,ila tatizo ni kuwa mnamchagulia Mungu asikilize maombi ya nani?,na mnaamini maombi yenu yanasikilizwa ila ya wengine hayasikilizwi.Huu naweza kuuita ubinafsi uliopitiliza au kutokuelewa mambo ya dini.Mungu pekee ndo anayejua namna ya kujibu maombi,sio CCM au CDM.
 
Huwezi shindana na SERIKALI yoyote duniani ukafanikiwa,mbaya zaidi serikali ya Tanzania,kilichomponza Lissu ni kutafuta sifa na kuwafurahisha baadhi ya watu,ndo hicho hicho kilichowaponza MWANAHALISI tofauti ni kuwa mwanahalisi wali target pia mauzo makubwa,mwisho wa siku nani anaumia???
nawe ni mmoja wa wale wanaounga mkono haya ya serikali siyo? kweli tanzania tunayo kazi
 
Hivi Nelson Mandela alikua anapambana na yanga fc?
Nelson Mandela ni vita ya ukombozi wa ubaguzi wa rangi,muache kuwa mnafananisha Mandela na vitu vya kijinga.Mandela hakuwahi kuwa ndumilakuwili kama hawa jamaa zenu wasiojua wanapigania nini?,kama unajua historia ya South Africa utanielewa,ila mtu yeyote anayeielewa South Africa au umewahi kuishi huko huwezi leta mifano ya Mandela hapa.Hawa ni wachumia tumbo tu.Na hili linadhihirishwa na kumkumbatia Lowassa,ni somo tosha tu kuwa sio watu wa kucheka nao hata dakika moja.
 
Back
Top Bottom