Waheshimiwa sana wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama pendwa ccm Mkoa Arusha Wasalaam!.
Nachelea kuwapongeza kwa nidhamu yenu ya uoga, kuleta mambo yenu ya ndani nje na kushindwa kujitambua mnapaswa kufanya nini hasa mambo kama hayo yanapotokea! sisi wengine tunaweza kuhisi ni malalamiko yalojaa...
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanasiasa machachali Ndugu Zitto Kabwe Anakamatwa Katka Mazingira Ya Kufanya Kampeni Kijichi! Hii ni dalili mbaya sana kuelekea uchaguzi mkuu 2020! Hii inamaanisha wapinzani wafanye kampeni za kukisifia chama tawala! vinginevyo watakamatwa kila kukicha, maana yapo...
Akili zingine ni jipu tuu! Mbunge huyu inaonesha hata hana mpango wa ku-fight wananchi wake wapate umeme! yupo bungeni kufurahia kufanya mambo gizani! daah shetwani ni shetwani tuu!
Be open but not naked...!
haiwezekani Rais aseme malengo yake yote ya kufanya hivyo! zaidi yeye anasema tumuombee kwa Mungu ili amlinde na atutumikie watz! Binadam tuna maneno mno hats angefanyaje tungesema tu! ooh kila Siku anasafiri na ndege! teh teh ...!
Well said Mkuu! hawa jamaa wanaoguswa inawauma sana! sasa nadhani wanatafuta public influence! na Mr president bora asitoke nje maana atakuja kukuta nchi wameshamnyang'anya!akomaewatu wafanye kazi badala ya kupiga dili!
Kimsingi ili uweze kupata baarua ya kuthibitishwa kazini ni mpaka pale utakapokuwa umekamilisha mwaka mmoja kazini! lakn kwa upande wa tsd si lazma ufikishe mwaka 1, ila kwa maeleza zaidi nenda ofisi ya tsd wilaya watakupa maelekezo zaid!
kuhusu kupata mkopo nmb, ni kweli kwa sasa masharti...
TANZANIA TANZANIA NCHI YANGU...!!
Kama kweli watu walioaminiwa na wananchi wanaanza kuwaibia wananchi! where are we heading!?, katika swala la msingi na la maana kama hili,tukiweka uanachama mbele tunapotea!, kama mwiz amekamatwa na amethibitika,kulikon kuanza kujadiriana huyu mwizi badala ya...
Uko sawa kabisa! lakn nadhan huenda akatumia nafasi hiyo kujiosha na kumnyonga pinda, maana na yeye yuko kwenye kuusaka u-raisi!
Lakn hoja ya msing ni ni pesa yangu irudi na watuhumiwa wafikishwe mahakamani! Rais kesho atakuwepo nchini sasa cjui atawaambia nin watanyania kwenye hotuba ya mwisho...
Tunamshauri huyu mdada au tunaijadiri ccm! kama tunashindwa kujenga hoja vzr basi tubadili maada tuijadili ccm! lakn wakat tukjadl hayo tukumbuke kutaja chama mbadala wa ccm ila isiwe saccos ya mtei!
ME NADHANI MMEO AKUAMBIE TU KAMA KAKUTOSA KULIKO KUOMBA LIKIZO ISIYO NA MALIPO ILI YAKIMSHINDA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.