mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,456
- 36,471
dah hawa ndio wanajiita wanaume ila mi
nawaita mwanaume kiuno..
elimu alopata haijamsaidia kitujinga huyo - si angebaki tu bongo mbona shugamamiz wa kumpa pesa wamejaa??
anywayz mwambie rafki yako na yeye atafute papaa wafunge ndoa maisha yaende sawa