Wala kuchapa si kazi ngumu ya kusomea ikamshinda PhD,inakuwaje PhD mzima hajui hata kuchapa taarifa ya kiofisi,ama kweli Tanzania ni nchi ya ajabu sana.Ndo hasara ya PhD za online na vyeo vya kupeana.Zama hizi na kipindi tumeshuhudia watu wakipenda kuitwa PhD wakati competence yao ni level ya...
Aise we ndo msomi wa chuo cha Makerere Uganda.Hongera sana endeleeni kuamini Uvccm yenye vijana wanaopigana mbele ya baba zao watatawala milele Tanzania.Ushindi wa cdm daraja II ni dalili nzuri za kumuondoa mkoloni mweusi ccm.Wanyonge,maskini wanaendelea kufunguka akili mmebakia watu wachache...
ni bado kuna vijana wana imani ukijipendekeza ccm utapata kacheo.Mimi najua kama jina lako la ukoo halimo kwenye vitabu vya ccm utabaki kuwapigia makofi wateule watoto wa vigogo!Anyway tutakutana uchaguz 2015 with high unemployment rate.Kushabikia ccm inahitaji uwe chizi unl
kama mtoto vile huzaliwa na kukua na kujitegemea.hakika chadema ulizaliwa na sasa umekuwa mtu mzima watanzania wengi wana imani na wewe na wako tayari kukukabidhi Tanzania mwaka 2015 utawale na utimize ndoto zao za maisha yenye neema sawa na raslimali za nchi.umekuwa ukisingiziwa mengi mf.wewe...
wadau tumesikia cuf pale jangwan kupitia tbc wakitangaza harakati za ukomboz wa watanzania kupitia vision 4 change.mi naona copy n paste ya m4c ya chadema.kwanini wasije na muundo tofauti na cdm?my take ipi m4c au v4c itaondoa ccm madarakani?
huyu dogo asenga akiwa itv kipima joto alidai kasimamishwa masomo chuon mwl. nyerere kwa kudai refund ya fedha za matibabu.kumbe hata yeye anasimamishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.