Ushindi wa CHADEMA Daraja mbili (Arusha) ni salaam kwa Lowassa

Tanzania Bora

New Member
Oct 28, 2012
1
12
Wananchi wa kata ya Daraja 2 Arusha Leo wamemjibu Lowassa kwa vitendo baada ya majigambo yake kwenye uchaguzi wa CCM kuwa sasa baada ya kuweka vinyago wake kwenye uongozi Arusha mjini na mkoa eti sasa CCM itashinda Arusha. Ameumbuka baada ya CHADEMA kuibuka kidedea kwenye uchaguzi wa udiwani.

Hii si mara ya kwanza kwa fisadi wa Richmond kuumbuka maana alianza Arusha mjini kwa Lema na Arumeru Mashariki kwa Nasari.
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani kucompare na lowasa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?
 
Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?
 
Halafu we PUMBAFU yaani unajiunga leo na kupost Utumbo wako? Au ndo uliyekwidwa Lumumba Jana? Majeraha ya SIASA ni hatari sana! Moderators, msiruhusu JF iwe sehemu ya kuombolezea!
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani hapa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?

kwa kuwa tunajadili ushindi wa madiwani wa kata itakuwa wenda wazimu kama tutaulizana nani kashinda uraisi wakati uchaguzi wenyewe ni wa madiwani. do right thing at a right time!
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani hapa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?

Ama umelewa au wewe ndio product ya shule na vyuo vya kata (incidentally credit ya kuanzishwa kwake ni ya mwizi lowassa unaempigia debe shamelessly). Usiposhinda kwenye kata utashindaje jimboni? Kwani wapiga kura wa jimbo hawatoki kwenye kata?
 
Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?
kwa hiyo umeshindwa kabisa kulink matokeo ya drj 2 na harakati za lowassa.
Punguza jazba jibu hoja kwa hoja!
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani hapa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?

rudi facebook kwa watoto wenzako uongozi unaanzia nazi ya chini mpaka ngazi ya juu hakuna uongozi wa ngazi yajuu usio kuwa na ngazi ya chini huo uongozi utakuwa ujakamilika

ficha ujinga wako mfukoni
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani kucompare na lowasa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?

Hata mimi sikujua. Kumbe mtu anaweza kukosa kura katika ngazi ya kata na mitaa halafu akapata za mkoa na taifa juu kwa juu? Zinatoka wapi hizo?
 
Povu la nini? Tunajadili hoja hapa!! Sasa ya nini kuparamia mwenzako kwa matusi? Huyo Lowasa amekutuma umtetee hapa? Anakulipa kiasi gani?
 
hahaaaa....

hahahaha.....!mwenye mvi siku zote wanakuwa na busara,ila nashanga kwa mwenzet eduward. Ilimpasa astafu siasa ili apate eshma ya kuenziwa kuliko vituko na viloja anavyo vitoa sasa,kwa kutoa jua ulimwengu anaolilia autawale ni wa ki.com
 
Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?

Sasa hapa si umeshamtukana tayari?
Jf inashushwa hadhi na watu wa aina yako,wanao endekeza matusi badala ya kujibu kwa hoja.
 
Hata mimi sikujua. Kumbe mtu anaweza kukosa kura katika ngazi ya kata na mitaa halafu akapata za mkoa na taifa juu kwa juu? Zinatoka wapi hizo?
zinapatikana sana Mkuu, zinapatikana mezani, unakaa na vigogo
mnatengeneza kura zenu walizopiga wananchi hewa, na mambo yanakuwa mambo!!!!!!!!!
 
Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?

Nahisi wewe ndio una Colgate kichwani hakuna kitu muhimu sana katika siasa kudhibiti nyanja zote za siasa wewe unadhani kwakuwa EL anataka kugombea Urais hatawajali hao madiwani,wewe ndi mvivu kufikiri ktk ulingo wa siasa kupoteza Kata nipigo kubwa sana kwa Jiji la Arusha na CCM kwa ujumla. Achilia mbali EL kwani hiyo nidalili katika ngazi ya jamii wananchi wanakikubali chama kwa kiasi gani
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani kucompare na lowasa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?
Aise we ndo msomi wa chuo cha Makerere Uganda.Hongera sana endeleeni kuamini Uvccm yenye vijana wanaopigana mbele ya baba zao watatawala milele Tanzania.Ushindi wa cdm daraja II ni dalili nzuri za kumuondoa mkoloni mweusi ccm.Wanyonge,maskini wanaendelea kufunguka akili mmebakia watu wachache kama wewe mlio na fikra dhaifu.Na nyie siku haipiti bila kumtaja Phd holder,Dr.Slaa-rais aliye mioyoni mwa watanzania wengi.
 
Hapa ndipo wapenzi wa siasa . tunapojichanganya kuna wakati fulani MH mbowe aliwekwa mahabusu central polisi Dar es salaam, mwenyewe anakumbuka sababu aliyowekewa siyo issue ila moja ya mambo ninayoyakumbuka ni maneno yaliyokuwa yanatoka mdomoni mwake wakati huo aligombea kwa mara ya kwanza jimbo lake na akashindwa lkn alikuwa anatamba kwa kuwa alishindwa lkn kulikuwa na wapiga kura 20,000 waliomuunga mkono, alijivunia saana na alikuwa anatamba hivyo siasa si kushinda tu. hata kuwaheshimu waliokuunga mkono na kujiona mshindi. Arumeru bado kuna wapenzi wengi wa CCM , hivyo hata daraja mbili je CCM wamepata 0 jiulize uchaguzi wa mwanzo na sasa kura zao zimeongezeka au kupungua .na je mmeshinda kwa sababu rushwa haikutumika au mkishindwa hilo ndo dai lenu.
 
Back
Top Bottom