Waghushi waraka kuhusisha CHADEMA na migomo

Atuambie ni mitandao gani uliwekwa huo waraka?Na kwanini haukupatikana humu JF?Hao si ndio wale walioandamana kupinga mgomo wa madr?wanaacha kusoma wanakubali kutumiwa na wakina Nape.Nimeanza kuelewa kwa nini CCM walianzisha hii mitandao mavyuoni.

huyu dogo asenga alidai kasimamishwa masomo chuon mwl. nyerere kwa kudai refund ya fedha za matibabu.kumbe hata yeye anasimamishwa
 
Atuambie ni mitandao gani uliwekwa huo waraka?Na kwanini haukupatikana humu JF?Hao si ndio wale walioandamana kupinga mgomo wa madr?wanaacha kusoma wanakubali kutumiwa na wakina Nape.Nimeanza kuelewa kwa nini CCM walianzisha hii mitandao mavyuoni.

huyu dogo asenga akiwa itv kipima joto alidai kasimamishwa masomo chuon mwl. nyerere kwa kudai refund ya fedha za matibabu.kumbe hata yeye anasimamishwa
 
Hivi CCM ni chama cha upinzani? Nilitegemea wangejikita katika kutimiza ahadi na ilani ya uchaguzi lakini wamejikita zaidi kukosoa mwenendo na uongozi wa Chadema kama vile ndio chama tawala.
 
Waraka huo si umo humu? Lakini kama mnapinga kuwa hakuna waraka huo mbona nyaraka za Serikali mnazikubali hata kama mmeghushi wenyewe? cdm bwana! Limewaganda kooni hilo,halimezeki wala halitemeki! Mnaloo!

umesha tumika au ndo utatumika ukitoka hpa lol! kazi njema katumike salama ila usisahau kutumia co**om c unajua magonjwa manake inabidi tukukumbushe jwan had hapo tu unaonesha huna lolote kichwan zaid ya kuwaza kutumika halafu uje opost ***** hapa
 
Napata mashaka na elimu anayoipata huyu asenga.anapoteza muda kutetea upuuzi,hawa ndo wanachezea kodi za watanzania
 
Back
Top Bottom