Recent content by Sipa

  1. Sipa

    JamiiForums Tanzania Miguel Gamond ni kocha aliyekuja kuvuruga maana halisi ya "kikosi kipana"

    Mashabiki hatujui tunahitaji nini maana Kuna kipindi tulimtukana Sana Mayele kuwa ni mbinafsi hatoi pasi kwa wengine lakini akifunga kwenye impossible angles tulimsifu sana Mwisho tuseme kikosi Cha mashabiki hakijawahi kufungwa[emoji135]
  2. Sipa

    JamiiForums Tanzania 2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

    Mzee wa "sauti yako ni kazi yetu" Mchumi kilimo yule
  3. Sipa

    JamiiForums Tanzania 'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

    Hemed PhD Anajua sana kuimba wewe utakuwa mtu wa nyegezi huwezi muelewa PhD
  4. Sipa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ina maana huwezi kunisaidia bila kukupa penzi?

    Na asipokula afe kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Sipa

    JamiiForums Tanzania Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Hii heller mimi ninayo nielekeze sehemu za kuuzia mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Sipa

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la wakubwa liko wapi?

    Ngoja namimi niwaombe mods niende huko kwa wakubwa wenzangu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Sipa

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

    Dunia sinia pakua unachoweza kula
  8. Sipa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Wanaume wabaya sana"

    Mahuki ya mazimbu au
  9. Sipa

    JamiiForums Tanzania Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

    Kila siku nawaza kwanini PSG walilipa pesa yote ile kwaajili ya neymar? nakosa jibu Kwanini man u walilipa ile pesa kwaajili ya pogba ? Nakosa jibu naishia kusema mpira sasa unachezwa na watu walaini sana kama wanaume wa dar
  10. Sipa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bwana harusi apokea mzigo wa bahasha wenye video ya mkewe akishiriki tendo la ndoa na mwanaume mwingine

    Daaah wakati unaandika nafikiri hukushirikisha kichwa hiki kidogo cha chini ndiomaana umetoa comment bora zaidi
  11. Sipa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lulu Michael arudi shule

    Tajiri anapata elimu, masikini ndio anaesoma
  12. Sipa

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi kwa gunia la debe 6 lafika shilingi 9000

    Telikai gwari ulyayi
  13. Sipa

    JamiiForums Tanzania Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

    Karibu ulaya
  14. Sipa

    JamiiForums Tanzania Darasa huru kwa vijana

    Andiko hili limenikuta nikiwa na Umri wa miaka 27 hakika naamini litaishi miaka 27 mingine kwangu na 27mingine kwa kitukuu changu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Sipa

    JamiiForums Tanzania Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

    Nilidhani Mimi tu ambae sijawahi tumiwa PM kumbe tuko wengi Haya mdada mmoja aje atoe mkosi PM kwangu
Back
Top Bottom