"Wanaume wabaya sana"

"Wanaume wabaya sana"

"Nimekuwa mwaminifu sana kwa hawa wanawake kwa nyakati zote ambazo nimewahi kuhusiana nao.
Lakini mshahara wa haya ni kusikiliza nyimbo za baraka, IBRA nation na lavalava.
Haijawahi kutokea Mimi niwe chanzo cha maumivu ya mwanamke ambaye Niko naye. Hawaoni memaa yangu wananilipiza maumivu yasiyovumilika.. Asanteni wanawake kwa kunizawadia maumivu"
Halafu baadae mnasema wanaume wabaya?
Hivi mkwawe wanatakaga nini hawa viumbe?
Nami kuanzia leo nakuwa mwanaume mbaya na kila mwanamke nitakaekutana nae ahesabie kilio"
ALISEMA RAFIKI YANGU MAYENGA
Eeeeh umetangaza vita
 
Back
Top Bottom