Recent content by sio mtu mzur

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni nyumba 'ndogo' mnatesa familia zenu

    Dah ulivyotuchamba hadi najihisi aibu" kwel lkn umeongea kitu cha msingi sna
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

    Nampenda mno mama ang kias kwamba ww ndo utakae ondoka
  3. S

    JamiiForums Tanzania Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

    Daud Albert bashite
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

    Ndo ukomeo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mama eti na sisi Baba yetu anakufa lini?

    Kama ndo mm ningekamata hako katoto kanakotaka nife ningekavuta mashavu hdi yachomoke" hukua umelewa wewe vijimaneno vya mtt Wa miaka minne vimekulegeza ,umetuaibisha walevi wenzio sio vbaya ukitutaka radhi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Umekosea ila ulikua unaelekea kupatia
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wahariri leo mmeonyesha uzalendo wa hali ya juu sana

    Ila wamependeza jaman mtu na wakeze"
  8. S

    JamiiForums Tanzania Una hela wewe?

    Mi hua nafurah nkiambiwa hvyo " nakua nazidisha morali wakuzisisaka ili hlo swali lisijirudie
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Mbona huu Uzi umekaa kichochez jaman" maana hlo kabila langu lilivyoandamwa kwenye huu Uzi nimegundua kwel sisi ni big empire
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbwewe Tanga: Askari wapoteza Maisha kwenye ajali ya gari dogo na lori Mbwewe

    Kwan tulivyomteka si tulikua wote acha usahaurifu mkuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyemchukua bar usiku kanifanya vibaya

    Nitumie laki moja nkuletee mwizi wako
  12. S

    JamiiForums Tanzania Enyi Tigo,Ni kitu gani hiki?

    Upo sahihi mkuu hata mm ni shuhuda Wa hilo
Back
Top Bottom