Recent content by Sinzia

  1. Sinzia

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yaani hivyo kweli hawa
  2. Sinzia

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nimeamini Arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto rasmi nimeamka kutoka ndotoni
  3. Sinzia

    Nikiwa na ukaribu na mtu lazima afanikiwe sio mimi

    Watu mna mawazo ya kutisha
  4. Sinzia

    Kama Mungu alikuwa na lengo la wokovu kwa binadamu hakupaswa kutumia mfumo wa kibinadamu kumuokoa binadamu dhidi ya shetani

    Mwanadamu uliyeumbwa na Mungu ni nani adi uhaoji mfumo wowote ambao yeye anataka kutumia ili kutimiza kusudi lake ? Wazo hili ni ishara ya kiburi kwa Muumba wako!!!?
  5. Sinzia

    Nani atapata mali zangu ikiwa nimeachana na mwanamke wa ndoa aliyenikuta na mali?

    Naona wachagga imekuwa personal sasa hahahhha
  6. Sinzia

    Yasikie kwa jirani tu

    Bwana mkubwa sikushangai sana kwa majibu yako ila ni yule adui yaani ibilisi (baba wa uongo ) ameposha fikra zako na moyo wako ili usipate kujua kweli ya Mungu... ila kwa 100% + Mungu hausiki kwa lolote au chochote haya yote nikutokana na ukosefu wa Upendo kwa Mungu,kwa jirani zetu pamoja na...
  7. Sinzia

    Mungu ametupuuza sana watu weusi

    Warumi 9 14 Tuseme nini basi? Kuna udhalimu kwa Mungu? Hasha! 15 Maana amwambia Musa, Nitamrehemu yeye nimrehemuye, nitamhurumia yeye nimhurumiaye. 16 Basi, kama ni hivyo, si katika uwezo wa yule atakaye, wala wa yule apigaye mbio; bali wa yule arehemuye, yaani, Mungu. 17 Kwa maana maandiko...
  8. Sinzia

    Mungu ametupuuza sana watu weusi

    Warumi 9 12 aliambiwa hivi, Mkubwa atamtumikia mdogo. 13 Kama ilivyoandikwa, Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia. 14 Tuseme nini basi? Kuna udhalimu kwa Mungu? Hasha! 15 Maana amwambia Musa, Nitamrehemu yeye nimrehemuye, nitamhurumia yeye nimhurumiaye. 16 Basi, kama ni hivyo, si katika...
  9. Sinzia

    Ni mtu gani ukienda naye ni lazima uvae kondomu?

    Hahahhaha tupe uzoefu boss basi
  10. Sinzia

    Naombeni app za kuangalia mpira live

    Mkuu bihashara bado ipo tuyajenge
  11. Sinzia

    Je, huwa unasali kabla ya kula chakula?

    Sifa na Utukufu kwake Mungu
Back
Top Bottom