Je, huwa unasali kabla ya kula chakula?

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula?

Faida ipo..

Hujui kama unaweza kukabwa na ukafa!
Unamuomba Mungu atakase abariki chakula,,kilete afya na si mauti.

Niliwahi soma stori ya Baba yake Vanessa mdee kama sijakosea.
Katika kula,alikabwa na mfupa wa samaki..na katika harakati za huduma za kuutoa mambo yakaenda tofauti.

Kwahiyo maombi ni muhimu,kiafya,kiroho,kimwili, nk.
Unauhakika Balozi Mdee kabla ya kula kile chakula

Mtakatifu Anna Unauhakika kweli kabla ya kula kile chakula Balozi Sammy Mdee hakuwa amesali?
 
Niliwahi kusikiliza hadithi ya Mganga mmoja ambae alitoa ushuhuda kuwa wauza chakula wengi (sio wote) huweka vitu vya ajabu sana ili kuvutia wateja (alishindwa kuvitaja) hivyo akasihi tuepuke kula sehemu tusizozijua au kwa watu tusiowaamini (sio kwa ubaya ila akili kumkichwa)

Yote kwa yote, tuombee kila chakula haijalishi tumenunua au tumepika wenyewe

Binafsi yangu huwa namshukuru Mungu kabla ya kula chakula chochote na umekuwa utaratibu kwa muda sasa, ila nimekuwa msahaulifu kwenye vimiminika kama maji najikuta tu nishakunywa ila najitahidi nizingatie pia.
 
Wasalaam,

Nimekaa nikatafakari namna tunavyopata vyakula vyetu.

Wengi wetu tunanunua chakula, wachache wanaolima kila kitu wao pekeyao.

Nikawa nawaza,Umenunua unga/Michele. Umenunua mafuta. Umenunua nyanya na viungo mbalimbali vya mboga. Umenunua mafuta. Umenunua nyama/mboga za majani. Umenunua matunda barabarani unakula pasi na kuomba.

Hizo sehemu zote tofauti tofauti hujui mtu anatumia nini ili kusukuma biashara yake. Wengine hutumia dawa za mvuto ili biashara itoke. Wengine kafara, Wengine mazindiko ,nk..

Unakuja kucombine vitu vyote ulivyovinunua sehemu tofauti tofauti na kupika chakula kula. Imagine Umenunua vitu hivyo sehemu ambazo wauzaji wanaongeza mvuto kwa madawa. Nini kitatokea??

Ama kwa wale wanaokula migahawani. Je unasali kabla ya kula?
Kuna migahawa hutumia nguvu za ajabu kuleta mvuto ili wateja wajae;
Chakula kinaboostiwa na madawa ya ajabu(Wengine huthubutu hata kutumia hedhi ili wauze)

Wengi tukishaona tu chakula tunaanza kufakamia. Take a minute to pray.
Hata ikiwa jikoni unapika. Anza kutakasa chakula. Ombea vitunguu, mafuta, nyanya, karoti nk.

Tujitahidi wakati wa kula tusali/tuombe Mungu akitakase chakula na aondoe Kila aina zote za uchafu na mambo mabaya.

Tuombe Mungu abariki chakula, kinapoingia mwilini kujenge mwili na kuutia nguvu, kisilete madhara mabaya.

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula??
True kabisa, nakumbuka mwezi wa sita (June) mwaka huu nilipewa nyama ya mbuzi na ng'ombe kule Chalinze zilizokuwa zinatolewa na Waturuki bure. Mke wangu ni mtu wa dini sana japo mimi mwenyewe nachukia dini za watu (hizi za kuletewa na maboti), alizikataa zile nyama na kusema ni za kafara toka kwa Waturuki kwa sababu tu wenyewe hawali zile nyama, wanawapa Wabongo tu na wanazigawa baada ya kuzifanyia makafara. Sikumtilia maanani, nikampa na nikamwambia atupikie as a family maana nilipewa karibia kila 8 hivi za bure. Kwa shingo upande mke wangu hakunibishia akazichukua na kuziombea kabla ya kuosha na kuzigawa ili aweke kwenye freezer. Nikashangaa mke wangu anakuja sebuleni akikimbia na kuniambia njoo uone vitu vyako jikoni, sikuamini kuona nyama zinatoa harufu ya hajabu na nzi kujaa jikoni kote. Tukawapa mbwa nao wakazikataa kula, wakawa wanazinusa tu. Najiuliza kama mke wangu asingeziombea zile nyama sijuwi tungekuwa majini hivi sasa au watu wa aina gani. Toka hii siku nachukulia uombeaji chakula very serious japo sipendi dini (ninaomba kivyangu bila kumtaja Yesu wala Mohammed), namshukuru sana mke wangu, malaika wangu niliyepewa na Mungu na malaika wake.
 
Sifa na Utukufu kwake Mungu
 
Unauhakika Balozi Mdee kabla ya kula kile chakula

Mtakatifu Anna Unauhakika kweli kabla ya kula kile chakula Balozi Sammy Mdee hakuwa amesali?
Sijasema kama alisali hakusali
Hakuna niliposema hakusali.

Jibu langu ilikuwa kwenye comments iliyouliza faida zake kiafya ni zipi.
Ndipo nikatoa mfano huo kwamba kusali kiafya ni muhimu pia maana unaweza kuepushwa na kupaliwa na complications zingine.
Usinitafsiri tofauti.
 
True kabisa, nakumbuka mwezi wa sita (June) mwaka huu nilipewa nyama ya mbuzi na ng'ombe kule Chalinze zilizokuwa zinatolewa na Waturuki bure. Mke wangu ni mtu wa dini sana japo mimi mwenyewe nachukia dini za watu (hizi za kuletewa na maboti), alizikataa zile nyama na kusema ni za kafara toka kwa Waturuki kwa sababu tu wenyewe hawali zile nyama, wanawapa Wabongo tu na wanazigawa baada ya kuzifanyia makafara. Sikumtilia maanani, nikampa na nikamwambia atupikie as a family maana nilipewa karibia kila 8 hivi za bure. Kwa shingo upande mke wangu hakunibishia akazichukua na kuziombea kabla ya kuosha na kuzigawa ili aweke kwenye freezer. Nikashangaa mke wangu anakuja sebuleni akikimbia na kuniambia njoo uone vitu vyako jikoni, sikuamini kuona nyama zinatoa harufu ya hajabu na nzi kujaa jikoni kote. Tukawapa mbwa nao wakazikataa kula, wakawa wanazinusa tu. Najiuliza kama mke wangu asingeziombea zile nyama sijuwi tungekuwa majini hivi sasa au watu wa aina gani. Toka hii siku nachukulia uombeaji chakula very serious japo sipendi dini (ninaomba kivyangu bila kumtaja Yesu wala Mohammed), namshukuru sana mke wangu, malaika wangu niliyepewa na Mungu na malaika wake.
Wanaume wengi huwa mnachukulia mambo kawaida

Tusali jamani
Mungu yupo,
Shetani pia yupo kazini.

Imagine hizo nyama za bure, wenye vibanda wa chips tuseme wamechukua... Wanachoma safiiena mtu akienda kula chips mishkaki, anaifakamia tu pasi na kuomba.
 
Niliwahi kusikiliza hadithi ya Mganga mmoja ambae alitoa ushuhuda kuwa wauza chakula wengi (sio wote) huweka vitu vya ajabu sana ili kuvutia wateja (alishindwa kuvitaja) hivyo akasihi tuepuke kula sehemu tusizozijua au kwa watu tusiowaamini (sio kwa ubaya ila akili kumkichwa)

Yote kwa yote, tuombee kila chakula haijalishi tumenunua au tumepika wenyewe

Binafsi yangu huwa namshukuru Mungu kabla ya kula chakula chochote na umekuwa utaratibu kwa muda sasa, ila nimekuwa msahaulifu kwenye vimiminika kama maji najikuta tu nishakunywa ila najitahidi nizingatie pia.
Hata kula kwa tunaowajua
Nao wananunua vyakula mbalimbali na unakuta katika hivyo, vingine vimenunuliwa Kwa wafanyabiashara wanaitumia nguvu za giza kuuza.

Tujitahidi
Ukiwa idle hebu nenda jikoni, kmbea vitu vyote vilivyopo humo, vitakase.
 
"Mungu bariki chakula hiki tupate nguvu ya kukutumikia vema. Amen"
Mapanga shah...

Personaly, one day nlitafakari hili suala. Nkaona tunafanya ile.sala kwa mazoea tu.
Lakini nkaona umuhim wa kuifanya sala ile kwa shukrani kubwa kytoka moyoni maana sio kwa nguvu zetu bali n kwa rehema tu.

NB: Hua sipendi wale watu wanakula lets say mgahawani au hata smtyms majumbani, alaf wanaeka uchafu chini (mezani n.k).
I always feel bad kwakua sioni kama n heshma lets say waiter akuje aanze kukusanya uchafu wako uliotoa mdomoni ukauacha hapo mezani. Hata yeye n binadam na ana kinyaa pia. Plus, hata kama n kazi yake, utu ni muhim. N vyema ukinaliza kula, chukua mifupa yako weka kwenye sahani iwe rahisi kwake kwenda kuimwaga rather than kuanza kuishika. Na kama n majumbani, ukimaliza kula peleka sahani umwage uchafu wako kwenye dustbin alaf uache sahan ikiwa vyema. Na pia, kwa ubora zaidi, ukikula, jitahd uweke mifupa yako hapo hapo kwenye sahani yako rather than kuyaweka chini..
Kwa kweli utu ni muhimu.
Unakuta mtu kwa sababu tu yeye haoshi vyombo, basi atachafua apendavyo.

Jikoni atachafua vyombo akijua kabisa yeye hatoosha.

Tuwaheshimu wenzetu, tuvae viatu vyao..
Mimi huwa sipendi kutoa mabaki ya maparachichi yaliyochanganywa kwenye maji machafu yaliyotumika kunawa hivyo najitahidi na mimi nisiwe kero kwa mtu kwa sababu tu sitoosha vyombo.

Sipendi kuchafua sana vyombo jikoni wakati wa kupika, Kwa sbabu vitanisumbua kuisha
Hivyo na mimi sitapenda kumfanyia mtu hivyo.
 
Wasalaam,

Nimekaa nikatafakari namna tunavyopata vyakula vyetu.

Wengi wetu tunanunua chakula, wachache wanaolima kila kitu wao pekeyao.

Nikawa nawaza,Umenunua unga/Michele. Umenunua mafuta. Umenunua nyanya na viungo mbalimbali vya mboga. Umenunua mafuta. Umenunua nyama/mboga za majani. Umenunua matunda barabarani unakula pasi na kuomba.

Hizo sehemu zote tofauti tofauti hujui mtu anatumia nini ili kusukuma biashara yake. Wengine hutumia dawa za mvuto ili biashara itoke. Wengine kafara, Wengine mazindiko ,nk..

Unakuja kucombine vitu vyote ulivyovinunua sehemu tofauti tofauti na kupika chakula kula. Imagine Umenunua vitu hivyo sehemu ambazo wauzaji wanaongeza mvuto kwa madawa. Nini kitatokea??

Ama kwa wale wanaokula migahawani. Je unasali kabla ya kula?
Kuna migahawa hutumia nguvu za ajabu kuleta mvuto ili wateja wajae;
Chakula kinaboostiwa na madawa ya ajabu(Wengine huthubutu hata kutumia hedhi ili wauze)

Wengi tukishaona tu chakula tunaanza kufakamia. Take a minute to pray.
Hata ikiwa jikoni unapika. Anza kutakasa chakula. Ombea vitunguu, mafuta, nyanya, karoti nk.

Tujitahidi wakati wa kula tusali/tuombe Mungu akitakase chakula na aondoe Kila aina zote za uchafu na mambo mabaya.

Tuombe Mungu abariki chakula, kinapoingia mwilini kujenge mwili na kuutia nguvu, kisilete madhara mabaya.

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula??
binafsi lazima kusali kabla ya kula na baada ya kula hii sijawahi kuhisi uvivu wala aibu kuifanya popote. Kiufupi huna nina kiherehere kuombea chakula
 
Mimi huwa naanza kusalia jikoni
Maana huko ndiko tunakoandaa vyakula
Tunaonja,mambo ya chumvi kuangalia mboga zimeiva.
Inshort ni muhimu kuomba.

Badala ya kukaa kimyaa jikoni, Anza kuomba mdogo mdogo.
 
Nafanya hivyo endapo tu ninakula na familia, ila nikiwa peke yangu sikumbuki lini nikashukuru kabla au baada ya kula.
Tena hivyo vyakula vya nje ndio vina balaa zaidi😂

Watu wametambika ili biashara iende
 
Mimi huwa naanza kusalia jikoni
Maana huko ndiko tunakoandaa vyakula
Tunaonja,mambo ya chumvi kuangalia mboga zimeiva.
Inshort ni muhimu kuomba.

Badala ya kukaa kimyaa jikoni, Anza kuomba mdogo mdogo.
unibariki Mungu wangu mimi, chakula na kinywaji hiki, nile na kunywa nipate nguvu na afya ya kukutumikia wewe daima.
Mbariki alie kiandaa chakula hiki nami ninae kitumia. Amen.

unaanza kukifakamia sasa.......

au kabla ya kula Bismillah
baada ya kula Alhamndulilah ....
 
Wasalaam,

Nimekaa nikatafakari namna tunavyopata vyakula vyetu.

Wengi wetu tunanunua chakula, wachache wanaolima kila kitu wao pekeyao.

Nikawa nawaza,Umenunua unga/Michele. Umenunua mafuta. Umenunua nyanya na viungo mbalimbali vya mboga. Umenunua mafuta. Umenunua nyama/mboga za majani. Umenunua matunda barabarani unakula pasi na kuomba.

Hizo sehemu zote tofauti tofauti hujui mtu anatumia nini ili kusukuma biashara yake. Wengine hutumia dawa za mvuto ili biashara itoke. Wengine kafara, Wengine mazindiko ,nk..

Unakuja kucombine vitu vyote ulivyovinunua sehemu tofauti tofauti na kupika chakula kula. Imagine Umenunua vitu hivyo sehemu ambazo wauzaji wanaongeza mvuto kwa madawa. Nini kitatokea??

Ama kwa wale wanaokula migahawani. Je unasali kabla ya kula?
Kuna migahawa hutumia nguvu za ajabu kuleta mvuto ili wateja wajae;
Chakula kinaboostiwa na madawa ya ajabu(Wengine huthubutu hata kutumia hedhi ili wauze)

Wengi tukishaona tu chakula tunaanza kufakamia. Take a minute to pray.
Hata ikiwa jikoni unapika. Anza kutakasa chakula. Ombea vitunguu, mafuta, nyanya, karoti nk.

Tujitahidi wakati wa kula tusali/tuombe Mungu akitakase chakula na aondoe Kila aina zote za uchafu na mambo mabaya.

Tuombe Mungu abariki chakula, kinapoingia mwilini kujenge mwili na kuutia nguvu, kisilete madhara mabaya.

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula??
Vyakula vyote vilikwisha takaswa na Yesu,tunaombwa Kwa shukrani tuu,siyo Kwa sababu hyo
 
unibariki Mungu wangu mimi, chakula na kinywaji hiki, nile na kunywa nipate nguvu na afya ya kukutumikia wewe daima.
Mbariki alie kiandaa chakula hiki nami ninae kitumia. Amen.

unaanza kukifakamia sasa.......

au kabla ya kula Bismillah
baada ya kula Alhamndulilah ....
Baada ya kula ni muhimu pia.

Mungu huwa ananipa picha , nakumbuka kipindi nimepata ajali, nakula juice Kwa mrija
Chakula kile nakiona ila siwezi kula😭
Mama alikuwa anatumia sana hadi naye anashindwa kula.

Kwa sasa kitendo Cha kula bila matatizo , namwambianMungu akhsante..
Kuna wagonjwa hospital hata kunyanyua midomo kula hawawezi.

Tuwe watu wa shukrani.
Hii kitu ni kama watu wanakichukulia kama kitu kidogo ila ni muhimu sana.
 
P

Pole sana Mama,
 
Back
Top Bottom