Nikiwa na ukaribu na mtu lazima afanikiwe sio mimi

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
851
1,887
Leo nimekaa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu.

Kiuhalisia karibia zaidi ya watu 10 sasa kila nikijaribu kujenga nao ukaribu kwa macho yangu nashuhudia wenzangu wakifanikia mimi nikibaki.

Ikitokea Nimeanza mchakato wa kutafuta ajira kiukweli mwenzangu atafanikiwa na kupata kazi haraka tofauti na mimi.

Sio biashara wala chochote.

Kiukweli nimekuwa disappointed sana hali iliyonipelekea niwe na msongo wa mawazo na kuogopa kuongeza rafiki mpya maishani.
 
Mkuu una bahati sana....kinachokunyima maendeleo ni sala tu...sali mno..badilisha lifestyle yako kabisa...MUNGU anaongea na ww na ww humsikii...sali sana naongea maana na mm nilikua kama ww! Nikabadilika
 
Upo wapi mkuu? Dar ama?

Back
Top Bottom