Recent content by siniega

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amezalishwa na madaktari wadogo roho inaniuma

    Kwanza shukuru kuonwa na daktari. Pili Naomba ufahamu kuwa daktari huwa anaona mengi Sana na mkeo sio malaika kuwa Ana uchi wa tofauti Sana. Nahisi uchi wake Ulikuwa hovyo ndio maana Ulikuwa na wasiwasi. Kwa taarifa yako bora mkeo ametibiwa na daktari wa kiume angekutana na wa kike ungekoma.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mapya ya Dk Mwaka

    Mbona alifungiwa na wazee/kitengo cha Tiba mbadala na sio Kingwa?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Takwimu za watoto wa Kipalestina walioko kwenye jela za Israel na radiamali za kimataifa ...

    Tatizo sio wingi Wa waarabu, tatizo unafiki kwa baadhi ya mataifa hayo. Don't forget six days war.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

    Umemdekeza sana. Hajachezea kichapo tu?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, Josephine, Mwanakijiji et al: Hii Meli ya CHADEMA/UKAWA Tayari Inaondoka, Uamuzi ni Wenu

    well said Serena maamuzi ya wengi ni maamuzi ya Mungu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Anatumia bracelet aliyopewa na mama yake aliyekufa asipate mimba, kapata mimba nifanyaje?

    dogo kuwa makini, mimba ya wiki moja ilionekana wapi? mbona hakuna kipimo cha kupima mimba ya wiki moja hapa TZ? huenda sio yako.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Pata gari used kwa bei poa

    Suzuki carry ipo?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Naona Kama vile Ile Sala ya toba ni kama bonge LA kiapo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Wewe lazima ulikuwa na unamlala huyo house made. Nani alimtolea nguo chumbani? Umemwonea huyo binti kabisa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Wewe lazima ulikuwa na unamlala huyo house made. Nani alimtolea nguo chumbani? Umemwonea huyo binti kabisa.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Pata vifaranga vya kuku chotara bei nafuu

    uko mkoa gani?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Wilaya ya Sumbawanga, ikoje?

    Hakuna kitu mbaya kama kutetea usichokifahamu kwa kutumia reference ya ulichosikia au kuambiwa. Yote uliyoandika ni kuambiwa tulioko sumbawanga hatujawahi ona wala kushuhudia zaidi ya kusikia waliofilisika kiakili wakibwabwaja. Usipotoshe tafadhali.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

    Je wewe uliyehudhuria ibada ya kishetani na wewe ni shetani? Mungu haangalii kama binadamu afanyavyo..
  14. S

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde viongozi wa dini mnatupeleka siko

    ndugu, kwa taarifa yako roho inakaa ndani ya mwili. Na kanisa linayatazama yote mawili (ROHO NA MWILI). tutakaporuhusu vitu vya hovyo vya kuja kudhuru miili yetu kwa kuogopa kusema basi hiyo itakuwa dhambi kubwa zaidi. Acha kuwahukumu viongozi wa dini
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hellen Kijo Bisimba ashambuliwa kutokana na kufumbia macho matukio ya mauaji

    Kwani mama Yake Analala Kwenye Mti?
Back
Top Bottom