Sumbawanga ni Makao makuu ya Mkoa wa Rukwa. Watu wake ni wakarimu sana na ujiandae kusalimiwa kila na unayepishana nae, so hiyo hali izoee kabla ya kufika huko, wewe pia jiandae kusalmia wazee walokuzid umr pind unapowapita. Pia andaa Jaketi la Uhakika maana kuanzia Juni huwa kuna barid kali sana mithili ya theluji mida ya asbh. Epuka kulala Wadada maana maambukiz ya Ukimwi yako juu. Kama unasafir na gari binafsi kupitia Mbeya Tunduma Laela jihadhari na Pumps maana zimeshaua watu kadhaa wagen wa njia hiyo. Chakula kinapatikana bei rahisi kwa sasa mahindi gunia 19,000/. Nakutakia safari njema. Lkn nakukumbusha kwamba Shinyanga, Tabora na Kahama hazipo karibu na Sumbawanga bali mkoa huu unapakana na Mbeya, Katavi na Kigoma kwa Upande wa Ziwa Tanganyika lkn pia Ukiwa Swanga Zambia unaenda kwa jogging tu. Mwalalauli......