Mkuu naona sasa unawakejeli na sio kuwasifia kama nilivyodhani, unasema wanawake hawaishi katika uhalisia bali ni waigizaji katika maisha,
pili umesema wanawake sio wazuri katika kutoa bali ni wazuri katika kupokea, yaani wavivu wavivu wengi wao wanaolewa tu ili wapate nafuu ya maisha kwa kumpa...
Hao wanawake uliowapa sifa zote hizi labda wa makabila ya huko kwenu ndo wana akili kuliko nyinyi, lakini wa huku kwetu mwakaleli thubutu!
mpaka kesho bado wanatembea na magoti pindi wanapotusalimia sisi wanaume kudaa..deki.
Mzee nashukuru sana kwa kunikaribisha, kwa hadhi yangu sikutarajia kuwa nitakaribishwa na mtu maarufu kama wewe, kwa furaha nilionayo natamani kububujikwa na machozi ya furaha ila sema sitaki kumpa kiki Lucas Mwashambwa, yule mnyaki mjinga mjinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.